Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona babu ataona kuwa hana timu. Bora tufungwe leo. 2 mistakes from Kosenly
 
watani poleni
that penalty decision is so harsh lakini ndo hivyo ubao unasoma 1 - 2
 
yaani leo Sagna anapiga beki tatu!!!!..........duuuhh
 
#Majanga ..........

Hope Arsene ataamka na kusajili sasa baada ya kichapo cha leo.....

Ila hiyo penati..............Mmmmmhhhhhhhhhh
 
Aiyaaa......centre back wa Arsenal katolewa kwa kadi Nyekundu
 
22min remaining
Ars 1:2 ASt Vill
red card Koscielny
 
Huyu Carzola WTF ameua timu penalti amesababisha yeye kwa kunyanganywa mpira kati na ndio amesababisha Kocelny apate red card pia. Tokea ameingia yeye hapa kati imekuwa njia. Mzee Wenger wacha aendelee kulalia pesa.
 
Hii ndo AFC ... Rosicky anakosa tena chance ya wazi kabisa.....
 
Huyu Carzola WTF ameua timu penalti amesababisha yeye kwa kunyanganywa mpira kati na ndio amesababisha Kocelny apate red card pia. Tokea ameingia yeye hapa kati imekuwa njia. Mzee Wenger wacha aendelee kulalia pesa.
Hujaona kosa kosa ya Carzola? Issue ni timi yote mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…