Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mashaka yetu yaleyale ! Free header jamaa keshachafua gazeti, hakuna clean sheet! Aaargh!!!!!
 
Hahaha Arsen Wenger na Kweli mmenichekesha lol...
 
Haya wakuu, naona kazi imeisha kwa leo....tabia ya "kuchafuwa magazeti" (as Kweli said) imeonekana tena.................well done gunners

wakuu, weekend njema...
 
...Hip hip Hoooraey!!!
ARSENAL, TOGETHER WE STAND!!!
 
Whatever the result tomorrow, tunamalizia wiki hii tukiwa nafasi ya pili.
 
Whatever the result tomorrow, tunamalizia wiki hii tukiwa nafasi ya pili.

....Kweli shukran sana kwa mapicha ya 'reo-reo!',... tulipokuwa tunaliboronga kila siku mapicha yalikuwa yanapostiwa hapa.

...siku hizi tunafanya kweli, 'mchinja mbwa' katususia kuleta picha kwenye jukwaa letu. Anyway,...tusije muudhi 'wazimu ukaturudia!' πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu hawa akina Chelsea na Mannure huwa wanachungulia hapa jamvini, kama tungepigwa bao utaona wanabuka akina Eqlypz, Belo, masanilo et al.
mechi yao kesho matokeo yote matatu ni mazuri kwetu sema ni vizuri zaidi wakitoka draw.
 
Mkuu hawa akina Chelsea na Mannure huwa wanachungulia hapa jamvini, kama tungepigwa bao utaona wanabuka akina Eqlypz, Belo, masanilo et al.

Mkuu huwa hapa tunakuja kuwashangilia mkisha kama hv leo,Hongereni sana wakuu naona mnakuja juu!
 
vijana wanafanya kazi nzuri. Itabidi sasa wajitahidi kumantain clean sheets.
 
mechi yao kesho matokeo yote matatu ni mazuri kwetu sema ni vizuri zaidi wakitoka draw.

....hapana,

Chelsea wakifungwa itakuwa raha zaidi...
Manure hana jeuri ya kutuacha mbali msimu huu...
'indicator' ishawashwa... walete walete waleeteeeeeeee!
aaaah,

...November 29 Mwanangu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…