Mara ya mwisho arsenal kutwaa taji,rais wa tanzania alikuwa mkapa,kim kardashian alikuwa bikra,diamond alikuwa anaitwa nasibu domo wa tandale,nick mijah alikuw flat kama muhindi,tbc ilikuw inaitw t.v.t,3310 nokia ilikuwa ndo simu latest,osama alikuw mapangon kandahar,wilshere alikuw baby boy,misany bing ndio alikuwa presenter mkali wa bongo,div point 7 ilikuwa kawaida,kuchukua demu ilibid uwe na simu yenye memory card,messi alikuwa barca B,special schools kuingia top ten ilikuwa kawaida,the bold and beatiful and days of our lives ndo zilikuwa tamthilia kali,channel 5 ilikuw ikiitwa ITV2

Nilishahama hili chama sina cha kuchangia,niko Man Utd nakula raha duniani.

Kesho ule ugonjwa wetu unarejea pale kwa SPUDS-WHL.
I see.....
Ngongo bana....Sasa kama umehamia Man Utd si ukachangie jukwaa la Man Utd!....
Huna cha kuchangia halafu still unapost jukwaa la Arsenal....
Unashangaza aisee.....Glory Hunter....