Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumelikosa hili kombe sasa ni wazi msimu huu nao unapita bila kombe lakini WENGER anaendelea kuwa Manager. Truth to be said, we the GUNNERS are suffering from insanity in the sense that, we keep doing same things in the same way expecting a different result. Trash WENGER!
 
mmh! ngoja tuwasubiri hao munich tuone yatakayojiri, na kama watatuacha sijui..

Kwa timu na Manager wake tulonavyo wala sitegemei tupite kwa Munich. 2shapigwa chini tena msimu huu unapita bila kombe!
 
Huyu refa simpendi...!

.....it is now official...

Mike Dean 19 - 2 Arsenal

Huyu refa anatutia nuksi tu. Katika mechi 21 alizo officiate, tumeshinda mbili tu!

Pheww....thx God jumanne hatakuwa mtu kati na Bayern Munich.

Keep ur heads up, jumanne tutatoka kidedea....
 
It's very sad tonight. Hata watu hapa uwanjani walivyo kimya utafikili kuna matanga. SOMETHING'S GOT TO GIVE.
 
The club is managed in a prudent way.

We ask for your understanding, and we will raise the price of tickets every season.

Please continue to support the club, and sorry for what happened.

Mkuu usipotoshe umma hapa.

Arsenal kwama huu hawatapandisha bei za tiketi.

Tiketi huwa zinanunuliwa mwezi April kila mwaka na mwaka huu hakutakuwa na ongezeko.

Karibu Arsenal mkuu.
 
Useless guns, can't shoot even the headless Venky's chickens at your own backyard. What a bunch of losers!
 

still loading kazeni mnaweza pita bwana..
 
Reactions: Mbu
Poleni waungwana!bayern ni wabaya sana,huwa nacheki game zao!mna kazi ngumu,uzuri ni kwamba nyie mmezoea kufungwa
 

Wewe umeshapoteza....unaelekea kudata kabisa.

Ebu jichekeni!!!!
 

Attachments

  • 7da324bab7e29a7bccea58c33535d923.jpg
    71.7 KB · Views: 44
mmh! ngoja tuwasubiri hao munich tuone yatakayojiri, na kama watatuacha sijui..

Bradford knocked you out
Blackburn have knocked you out
Bayern Munchen will knock you out

Remember the letter B
 

Attachments

  • 565bfe13d6017aa6a9811cc7b2808405.jpg
    24.6 KB · Views: 36
.....it is now official...

Mike Dean 19 - 2 Arsenal

Huyu refa anatutia nuksi tu. Katika mechi 21 alizo officiate, tumeshinda mbili tu!

Pheww....thx God jumanne hatakuwa mtu kati na Bayern Munich.

Keep ur heads up, jumanne tutatoka kidedea....

Mbu karibu sana naona wanoko wanashehereka ati tumefungwa, chacha walipokuwa wanampa brown envelopes Mike Dean walikuwa wanafikiri nini? Wacha Invisible awaletee keki wafaidi vizuri. Gunners ndio timu pekee ambayo inaogopwa na kila timu .. .... ... tumewaachia kikombe hicho washinde kiulaini .. .. ... .. ..

MD kazi aliyopewa ni kulilia mechi za Gunners.
 
Reactions: Mbu
Wakuu wa Gunners msiwe na wasiwasi na hawa wanoko wanaofikiria ni lazima tushinde kila mechi, mechi nyingine tunapoteza kutokana na ufisadi uliokubuhu pale FA ... ...kila chenye mwanzo kina mwisho.

Next Emirates CL J4 .. .... ... .. COYG.
BTW kama Mbu alivyosema ... ... ..Statisticians OptaSports:

"Arsenal have lost their lastthree cup ties when Mike Dean has been the referee and have won one of the last17 Premier League games under him."
 
Reactions: Mbu




Utalia sana mwaka huu....another trophyless season. Weka picha tafadhali.
 

.....haha, thx bro....hawa jamaa mie hawaniumizi tena kichwa, halafu washinde wana ubavu?....
The Gunners tuna priorities zetu bana,...tunawapa all these years wapate msemo, tukianza watimulia vumbi
itakuwa balaa hapa...
 







Msaidizi wa Mike Dean .... ... .... .






Gerv amekosa magoli lukuki msimu huu ... .... .. .. .
Je anafaa kuvaa jezi ya
Gunners ... ...






Kila aina ya fujo alifanyiwa Giroud .. ... .





Rosicky back in form .. ... ..







Theo . .. .. . gutted

Jack was absolutely miserable majibu J4
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…