Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Santos hayuko tayari na gemu kuna harufu ya goli lengine kutoka kwa Santos
Gibbs anahitaji kupasha moto misuli
 
beki zenu zinazingua bana..

Wanataka kuchafua mazingira .. ... . usijali tutawachapa magoli, lazima vijana wakomae nao .. .. .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nasikia mlipata goli la ngama leo? Nasikia katoto ka mjini kanachungulia hapa hakana hata chembe ya utashi kuweka neno ati kanachubiri kupigwa bakora na the Cottagers.

BTW nachikia Brighton wameomba waje kucheza Emirates ..... .... . ..... prof. bado anafikiria maombi yao.

but mnauwezo wakushinda.. duu britania sio mchezo maana ni hatari wanabaana kinomanoma acha tu...
 
naona tunataka kuengeza gemu kwa wachezaji
hii gemu sio ya kueka hata kidogo tulikuwa tueke timu kamili, kwani hawa watoto ukicheza nao ndio wanapata mdomo wa kusema Arsenal hawana kitu kwahiyo Arsenal wanataka kueka kiporo ili waje Emirate
 
Giroud two up ... ... ... ..

BTW huyu kijana Pod amegonga mwamba kutoka free kick kabla ya goli .. ... anaanza kuwa moto wa kuotea mbali ... ... .... ... safi sana . ... ..
 
Brighton 2 - 2 Arsenal ... .. ...

Chacha huyu Bold anafundisha nini kule kwenye defence?
 
Jack and Theo in ... .... ... for the last 20 minutes ... ... ... .
 
Back
Top Bottom