Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haya matokeo hayashangazi hii ndio Arsenal wanashinda leo next game utasema sio hawa

magoli yawe matano au goli moja points bado ni zile zile tatu...na ukiangalia walipo kwenye ligi bado wako nyuma ya everton na spurs..
 
magoli yawe matano au goli moja points bado ni zile zile tatu...na ukiangalia walipo kwenye ligi bado wako nyuma ya everton na spurs..
Ukiweza funga hata 80 coz hufika wakti magoli huamua nani awe juu na nani awe chini,kuhusu sie kuwa behind everton na spurs hujakosea but tungefungwa jana tungekuwa nyuma zaidi.
 
Kwa hiyo ulidhani timu zote zinashinda mechi zote? Sisi tunacheza wenyewe, hatununui marefa wala washika vibendera
Ninachozungmzia ni consistency hata Barca amefungwa lakini angalia matokeo ya Arsenal anaweza akashinda leo baada ya mechi 2 akafungwa na mashabiki wakapoteza matumaini kabisa na utasikia Giroud galasa Wenger anunue striker mwingine,Sagna auzwe na nyingine kibao.Concept ya kubebwa kila timu inabebwa hilo halina ubishi tofauti ni kwamba wengine hawabebeki.
Halafu sijawahi kukuona hapa wakati timu yako imefungwa unawacha kina Wacha1 , Richard, Viper, Balantanda na MwafrikaHalisi sio unakuja wakati timu inashinda
 
Last edited by a moderator:
wakuu jana sikujumuika nanyi shem wenu! alikuja kutoka Montreal ikabidi nimtoe out siku ilikaa kimahaba zaidi na hili winter dah ! :becky: nimeangalia highlights inaonesha nimekosa game tamu!
 
wakuu jana sikujumuika nanyi shem wenu! alikuja kutoka Montreal ikabidi nimtoe out siku ilikaa kimahaba zaidi na hili winter dah ! :becky: nimeangalia highlights inaonesha nimekosa game tamu!

Game lilikuwa ni zuri sana na akiwapo Podolski huwa hakuna matatizo kwani huwa analeta uhai kwenye safu ya washambuliaji.

Aaron Ramsey jana alicheza kwenye nafasi yake ya kiungo anayoipendelea kwahio akasimama mbele ya back four.

Ukumbuke kwamba Diaby bado hajarudi kwenye hali yake ya kawaida, hivyo hakucheza na Mikel Arteta nae bado amepewa nafasi ya ku-recover zaidi.

Hivyo all in all magoli 4 yakafungwa ndani ya dakika kumi.
 
kuna watu humu walisemaga kua wilf zaha ataenda arsenal :biggrin1: chezea fergie nyie
 
Kweli Kikongwe kaishiwa swaga, yani analia kwa nini Newcastle wanasajili wafaransa wengi (5 ndani ya mwezi huu) wakati wao hawapati kitu.
 
Prof. hakutoa hata mnong'ono ati anataka kusaini mchezaji gani yeye chiku hizi anafanya mambo yake kimya kimya maana akisema kila timu inakimbilia chacha chijui ni nani anasema ati Prof. hana mpunga, chichi tinachonga mbele.

Wakuu mtanange wa leo away
Prof. kesha weka wachezaji watano kiporo .. ... .. . Jack Wilshere, Theo Walcott and Santi Cazorla wapo bench .. ... .... . ... .
 
Wamechomoa ... .... Brighton 1 - 1 Arsenal .. .. .. all square .. ... mistake ya Szczesny kutoka kwenye corner ... .. very poor defending from Gunners
 
Back
Top Bottom