kila coach huwa anatafuta wachezaji wanaofit mchezo wake hilo moja, alafu BA ile clause yake iko known sana kwa vilabu vingi AW anasubiri Last ditch wazongeane wamshindwe yeye anakuja wa mwisho ndo alivyo
yaani wenger anashindwa hata kumnunua demba ba mpaka anaenda chelsea? alicost only 7mil aibu zenu sasa kama mnashindwa kutoa hiyo hela kwa ba mtaweza kumnunua Nani kweli? ndo mana fergie amekataa kwa sababu anajua nyie njaa kali hamna hela
Tatizo la Wenger ni mzito sana wa kufanya maamuzi nakumbuka alikuwa awasajili Mata,Cahill akashangaa Chelsea wakamuwahi
tatizo Ba anahitaji pesa nyingi .. na history ya mguu wake sidhani arsene will risk that.. but we need a player like him...
Tatizo la Wenger ni mzito sana wa kufanya maamuzi nakumbuka alikuwa awasajili Mata,Cahill akashangaa Chelsea wakamuwahi
Nawatakia heri ya mwaka mpya GUNNERS wote,MUNGU awalinde na awabariki
Nawatakia heri ya mwaka mpya GUNNERS wote,MUNGU awalinde na awabariki
Nawatakia heri ya mwaka mpya GUNNERS wote,MUNGU awalinde na awabariki
Wacha1, kwenye press conference pia alisema Fabregas,RVP hawauzwi lakini unajua kilichotokea