Siku hizi ligi za club bingwa barani africa na ligi za nchi moja moja zinaonyeshwa kwenye TV huko nyumbani na najua watu wengi wanaangalia- au huna king'amuzi mkuu? nimeuliza tu kama kuna mtu anajua how good this kid is, kama hujui sio lazima ujibu..
Huyu dogo Sunzu ataimudu PL au anakuaja kupasha bench moto wajameni?...
Sunzu set for Arsenal move - SuperSport - Football
Arsenal v Bayern Munich
Galatasaray v Schalke 04
FC Porto v Malaga
Valencia v Paris Saint-Germain
Real Madrid v Manchester United
AC Milan v Barcelona
Shakhtar Donetsk v Borussia Dortmund
Celtic v Juventus
Wakuu, hii draw imekaaje?? ?
Wazee wa Europa mpo??? Draw yenu baadaye!!Subiri kichapo tu, nothing more.
Arsenal v Bayern Munich
Galatasaray v Schalke 04
FC Porto v Malaga
Valencia v Paris Saint-Germain
Real Madrid v Manchester United
AC Milan v Barcelona
Shakhtar Donetsk v Borussia Dortmund
Celtic v Juventus
Wakuu, hii draw imekaaje???
hahahahaha.....sisi tumu za Ujerumani hazitusumbui!! Chamuhimu ni babu ananue quality players kwenye Jan transfer window!!itakuwa poa maana manure wanaongea sana... ila kwenu ndio basi tena maana bavarians ni hatari..
itakuwa poa maana manure wanaongea sana... ila kwenu ndio basi tena maana bavarians ni hatari..
hahahahaha.....sisi tumu za Ujerumani hazitusumbui!! Chamuhimu ni babu ananue quality players kwenye Jan transfer window!!
itakuwa poa maana manure wanaongea sana... ila kwenu ndio basi tena maana bavarians ni hatari..
Wazee wa Europa mpo??? Draw yenu baadaye!!
Tuachieni wakubwa tujadili kwanza!!
Only Chelsea know how to beat them, at their own backyard.
wewe shukuru drog to the bar maana kwa sasa itakuwa aibu..
...and what do you have to show off! You ain't CL standard.
...and what do you have to show off! You ain't CL standard.
Nani yupo kwenye channel 5? Khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
sio issue ila na nyie si hampo au na ueropa nayo ni kubwa enheee.