Hivi unapoongelea prof. unafikiri ni title kama ile aliyopewa kwa huruma huyo Fungie wenu? Prof. tangu aje Gunners kesha nyakua makombe kibao au unataka tuanze kushangilia/kushabikia timu wakati wewe ulipozaliwa au ulipokuwa na ufahamu wa kujihusisha na timu yoyote? Wake up and stop to be a paranoia. Kwani msimu huu au uliopita nyinyi mlishinda nini zaidi ya kucheza kwenye channel 5? Hata huyo Judas tumewapa bado mnaweweseka weweseka tu, asipofunga mko taabani shukuruni brown envelopes but time is coming very soon ndio chababu mnaanza kuweka sanamu hovyo hovyo. Mwaka huu hamuwezi kushinda kwa kutumia mashoga wazee chijui mtatoka vipi? Khe khe khe khe khe
khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
BTW prof pale alikuwa kazini na Gunners wanamlipa takriban £8 million kunyeshewa na mvua wakati wa mechi ni part and parcel of the job, wewe kazi yako usiyonyeshewa na mvua unalipwa kiasi gani? Ati umuonee huruma phew!
Wacha fujo, ndio umbeya wenyewe huo, mbona prof alilijibu hilo swala kwenye Press conference yake, ni kama kwenye familia wakipigana wewe unaingilia kama nani? Nenda kauguze mashoga Trashford. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nitajie kocha mwingine alieweza kushiriki UCL kwa miaka 15 mfululizo kwa Tight budget kama AW? Najua mashabiki tuko na stress ila mkae mkijua Arsenal culture yao ni self sustainable model na kocha gani atapata mafanikio bila kuwepo matajiri kama Glazer,Roman,Mansoor?
PLEASE layoff from the Old man he is preparing what we will benefit for many years to come especially when FFP will be full intalled in 2 years
suppose hii timu mliyonayo mumpatie Pep mnaweza kushinda 8 Epl games kwa Comebacks?? Once you will see the 70 year old retires then you will understand how to go trophless for seasons
jibu mbona rahisi ni Fergie...ferguson ameshinda champions league 1999 na PL trophies na league cups wakati glazers walikua hawajaja, so tumeshaonyesha kua tunaweza kushinda bila kua nao..kwanza ukumbuke kua glazers hawaingizi hela utd sana sana ndio wanatoa hela utd wanapeleka marekani..tofauti yetu sisi na watu kama aston villa, chelsea na man city ni kwamba clubs zao hazina hela so sugar daddies wao ndio wanaingiza hela kwenye club...FFP ikija na sisi tutafaidi sana coz we dont depend on any sugar daddy out there
kuhusu comebacks hiyo haitaji kocha its all about the players, kwanza pep mi bado sina uhakika nae as a coach kwa sababu anyone can be a manager at barcelona and win trophies, i have more respect for morinho than pep coz he's proven that he can win trophies in diff leagues, diff teams...
najua mnahamu kweli babu fergie aondoke ili tuporomoke bt it aint gonna happen...keep dreamin buddy:happy:
Mie nikatika Wachache Japo sishabikii Arsenal ila ukweli unaonyesha Media zipo kwajili ya watu wao Sir Alex na Timu yake inabebwa sana FA,Marefa na Media zinachangia, Mifano ipo kibao tu Ukiwacha Benitez alivyokuwa LFC na Matatizo ya Owner kina hicks & Gillet, pia Media walikuwa wanachokonoa Jamaa aondoshwe yote Mgeni na wenye chuki wa Jadi furaha yao walikuwa wanataka tu LFC wapate British Managers wale pale Roy na Kenny ndio walikuja wakaleta hizo British Players, hakuna Flop kama Player waliokuja wakauwa kabisa Timu, Kwa Mara ya Kwanza LFC haishindi ila angalau uhai unaonekana kwa Manager wa sasa hivi sababu sio British na anaiga vitu flani ambavyo wenger kafanya kukuza vipaji vidogo na kuvipa uaminifu kwamba wanaweza LFC wakimpa angalau miaka 2 ya ukweli akaweka sawa timu itakuwa mbali Ila wakianza kusikiliza MEdia (magazeti ) ya England yanasema nini kuhusu timu watu nje kwenye social Media wanakosoa kitu Gani timu itaendelea kuwa ya 10 tu tizama Wenger nachomsifu 1. Wenger hasikilizi takataka za Magazeti au Social Media mashabiki wamesema nini 2. Mfano Mzuri Game ya Aston Villa Mashabiki wa Arsenal wamemkosoa hajawasikiliza sababu yeye ndio Manager mpaka Media kamuuliza umesikia wanachokwambia ndio tabia za Media za England huwaoni kuuliza swali kama yale kwa Sir Alex au Waengereza wenzao alichowajibu Wenger ni KWani wewe Manager na umefundisha timu ngapi? jamaa alikaa kimya tumeona Jana Pia Benitez wao nafikiri wanataka timu Kubwa zote zifundishwe na watu kama kina Harry Redknapp tu. Wenger isingekuwa Wachezaji anaowakuza wanamsaliti basi angekuwa kashashinda Kombe sasa hivi kwenye miaka Miwili hii iliyopita Kwa Maoni yangu Arsenal Bila Wenger timu itaharibika sijui wanamtaka Tony Adam hata kama alikuwa Beki mzuri haimaanishi atakuwa Fundi mzuri wa kufundisha mabeki.
Ebu sikiliza kijana huwezi kuwalinganisha AF na AW ni watu wawili tofauti na tofauti zao kubwa ni AF amefanya vizuri sana uwanjani ktk historia ya EPL na AW amefanya vizuri sana katika managerial role ikiwa pamoja na kuitoa timu kwenye umaskini mpaka Top ten ya Vilabu tajiri duniani...na yeyote anaejua mpira hawezi kukataa kuwa AF ni kocha mzuri sana ktk mbinu
back to the topic we huujui mpira kumbe Ron Artkinson alipofukuzwa mwaka 1986 AF akachukua timu unajua alikaa 5 years trophyless akiteneza timu upya?
Barcelona unayoisema imeweka utamaduni wake wa "passing football" angalia makocha wanaokwenda pale na wachezaji lazima wawe wanaendana na utamaduni...Cyruff,van gaal,Ridkaad,pep & Tito villanova wote watu wa mapasi sasa utamaduni wa Manure ni "English football" mawinga wenye kasi,krosi nyingi,physique na dead ball situations sasa kwa upeo wako nani anacheza English football nje ya makocha hawa Harry Redknapp,AF,Paul Lambert,David Moyes hata Jose Mourinho hachezi hiyo style ye hupiga DIAMOND na ukuta mgumu kama chuma...and do you know he signed a new 5 years contract this year?
Point yako ya kijinga eti wachezaji ndo wanaofanya "comebacks" nani ana wa inspire vyumbani? Nani anaweka Tactics? We wadhani iyo timu umpe Milovan watafanya Comebacks? Basi kocha hana kazi kwa upeo wako mdogo
maneno ya DW kuwa rafikie atastaafu mwishoni mwa msimu unanigandishia mi ndo nimeyasema? Nenda ka google basi mi nimeunganisha na Statue yake pale OT kuwa yaweza kuwa ndio bye bye tena hasa akichukua ubingwa...
Kijana unapenda ubishi eti wachezaji wanafanya comebacks wenyewe? Hapo umenionesha ulivyo mchanga kwenye kujua mpira ila sikulaumu umeanza kushangilia Manure miaka ya 1999 wenzio kitambo zaidi ya hapo
Ebu jiulize kwanini timu zinazokuwa na hali mbaya (relegation battle) hupewa Redknapp na Sam Alladyce huziokoa? Kwani Martin O'neill wa Sunderland akipewa timu inakuwa ngumu kufungika?
Nipe majibu mtotowamjini
Mie nikatika Wachache Japo sishabikii Arsenal ila ukweli unaonyesha Media zipo kwajili ya watu wao Sir Alex na Timu yake inabebwa sana FA,Marefa na Media zinachangia, Mifano ipo kibao tu Ukiwacha Benitez alivyokuwa LFC na Matatizo ya Owner kina hicks & Gillet, pia Media walikuwa wanachokonoa Jamaa aondoshwe yote Mgeni na wenye chuki wa Jadi furaha yao walikuwa wanataka tu LFC wapate British Managers wale pale Roy na Kenny ndio walikuja wakaleta hizo British Players, hakuna Flop kama Player waliokuja wakauwa kabisa Timu, Kwa Mara ya Kwanza LFC haishindi ila angalau uhai unaonekana kwa Manager wa sasa hivi sababu sio British na anaiga vitu flani ambavyo wenger kafanya kukuza vipaji vidogo na kuvipa uaminifu kwamba wanaweza LFC wakimpa angalau miaka 2 ya ukweli akaweka sawa timu itakuwa mbali Ila wakianza kusikiliza MEdia (magazeti ) ya England yanasema nini kuhusu timu watu nje kwenye social Media wanakosoa kitu Gani timu itaendelea kuwa ya 10 tu tizama Wenger nachomsifu 1. Wenger hasikilizi takataka za Magazeti au Social Media mashabiki wamesema nini 2. Mfano Mzuri Game ya Aston Villa Mashabiki wa Arsenal wamemkosoa hajawasikiliza sababu yeye ndio Manager mpaka Media kamuuliza umesikia wanachokwambia ndio tabia za Media za England huwaoni kuuliza swali kama yale kwa Sir Alex au Waengereza wenzao alichowajibu Wenger ni KWani wewe Manager na umefundisha timu ngapi? jamaa alikaa kimya tumeona Jana Pia Benitez wao nafikiri wanataka timu Kubwa zote zifundishwe na watu kama kina Harry Redknapp tu. Wenger isingekuwa Wachezaji anaowakuza wanamsaliti basi angekuwa kashashinda Kombe sasa hivi kwenye miaka Miwili hii iliyopita Kwa Maoni yangu Arsenal Bila Wenger timu itaharibika sijui wanamtaka Tony Adam hata kama alikuwa Beki mzuri haimaanishi atakuwa Fundi mzuri wa kufundisha mabeki.
Kesho tunachukuwa zote 3
coyg!
Maeneo matano ambayo Everton na Arsenal watakuwa wakishughulika.
Sylvain Distin na Heitinga v Olovier Giroud
Ingawa Giroud amechukua muda sana kuanza kufunga magoli, kesho atakuwa akichungwa sana na Distin au Heitinga ambao watahakikisha wanasimama mbele ya Giroud pale atakapokuwa akikimbia kupokea mipira inayotokea sehemu ya kiungo hasa kwa Santiago Cazorla. Cazorla nae atakuwa akichungwa na Phil Jagielka kwani atakuwa akijaribu kupiga mashuti au kutumbukiza pasi ndani ya eneo la 18.
Fellaini na Mertesacker- huu pia ni mchuano mkubwa kwani wachezaji hawa wote ni warefu na mipira mingi itakuwa ikielekezwa kwa Fellaini kumpita Mertesacker. Kwahio Mertesacker aanatakiwa kutumia akili na nguvu kumdhibiti Fellaini ili asileta madhara.
Coleman na Podolski- Coleman ni mchezaji wa kutegemewa na Everton kwa mtindo wake wa kwenda mbele na kurudi nyuma kusaidia mabeki wake. Podolski ni mwepesi na ana mbio kwahio Coleman atapunguza kasi yake kwenda mbele kwani takuwa na kazi ya kumdhibiti Podolski na akishindwa Podolski ataweza kufunga au kuchangia magoli.
Leon Osman na Santiago Cazorla- Ikiwa Cazorla atarudi kwenye hali yake ya kuweza kupika mashambulizi na kutoa pasi za uhakika basi Arsenal haitakuwa na kazi ngumu kushinda game hili. Kwahio Leon Osman atakuwa na jukumu la kumshughulikia Cazorla asiweze kuchezea mpira atakavyo na inabidi afanye hivyo kwa dakika zote 90 kwani Arsenal wana uwezo wa kufunnga wakati wowote ule.
Leighton Baines na Theo Walcott- Wachezaji hawa wawili wa timu ya taifa ya England watakuwa wakishindana kwenye maeneo ya kasi, ujanja na akili ili kuzipa ushindi timu zao. Walcott atakuwa na wajibu wa kuhakikisha kama akirudi nyuma harudi sana na akipata mipira haipotezi kijinga bali kuhakikisha anatoa pasi murua kumfikia Giroud na Podolski abao wanaweza kufunga. Leighton Baines nae atakuwa ameagizwa na David Moyes kuhakikisha anamrudisha nyuma Theo Walcott na kumpa pasi murua Marouane Fellaini au pia kujitafutia nafasi za kupiga mashuti.
Lakini Baines nae akijisahau atajikuta akiachwa na Walcott na kuizamisha Everton na Walcott nae akizubaa atajikuta akiwa anaotea kila mara kutokana na ujanja wa Baines wa kuwapanga back four yake, na pia kukosa nafasi ya kuifungia magoli timu yake.
Kwahio ukiangalia mechi hii ni muhimu sana na ndio inatayotoa picha halisi ya msimamo wa ligi kuu ya England.

Pazi,hakuna uhusiano kabisa kati ya media na mashabiki kumlaumu kocha, washabiki wanamlaumu kocha kutokana na matokeo mabovuKumbuka wanaomzomea Wenger sio media ni mashabiki wa Arsenal ambao hata hapa JF sometimes wanamlaumu.Unajua kwamba hata Rodgers nae ni m-Irish,Fergie-Mscotish,Moyes-Mscotish so still ni wale wale British manager sema yeye aproach yake ni tofauti
Very biased!