Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nategemea sana update zenu manake mimi nipo safari naenda karatu na siwezi iona game ya leo.
Hope tutashinda na kikosi nimekisoma kizuri sana.all the best arsenal fans
 
naona giroud ugali umepungua kakosa..
 
Ingekuwa totenham anacheza na Man U ile red ya adebayor wangesena SFA anahisika
 
metasaka kishawachomolea naona jahazi la spurs ndo laanza kuzama..
 
Refaree Harold Web kiukweli hua anaonyesha kadi kwa sana. 1 ya mechi aliyoaribu ni fanal ya kombe la dunia kati ya spaio na Uholanzi kadi 13 za njano. Mpambano ndo ushavurugwa.
 
Ungekuwa kwenye nafasi yake kwa faulo ile usingetoa kadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…