Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
mkuu kama unamfutilia kwa uzuri utayaona haya 1.ball control yake iko hovyo 2.ball possession yake hairidhishi 3.pass zake hazina uhakika (mpotezaji mzuri wa mipira) mengine ongezea
nilisema Arsene kafika mwisho na leo ameonesha
Timu ilikuwa mbovu pale kati na hakuna kitu kilichobadilika leo tumefungwa na possession mbovu bado Totte watufunge sijui mangapi
Jamani kapiga bao mbili leo... Ana assist za kutosha .. kabisa...
He can not be van persie ndani ya msimu mmoja
Bora alipoingia tumekamata kiungo... After all angeingia nani pale?
Penati ya kubebwa,tatizo hata mkibebwa hambebeki
Maamuzi mabovu ya refa yalitoa fursa kwa Arsenal Kushinda lakini wameshindwa kutumia nafasi hiyo, na hii ndo tofauti ya Man Utd na Arsenal, Man U hutumia vizuri nafasi kama hizo. Wake up Arsenal acheni kulalamika tu kila siku
Penati ya kubebwa,tatizo hata mkibebwa hambebeki
Penati ya kubebwa,tatizo hata mkibebwa hambebeki
:biggrin1: najaribu kupekua comments zao angalau nione kama kuna hata mmoja amekubali kua leo walibebwa ile penati ya mwisho na refa lakini wote kimya kama vile haijatokea :happy: uliona sura ya babu wenger wakati arteta kakosa penati? alikua kaumuka afu kawa wa pink....chezeya stress za arsenal
ingekua ni man utd tumepewa penati hapo vijana wote humu ndani wangesema man u tunabebwa...wao wanabebwa na bado wanashindwa kuchukua advantage..
Wewe sio kila.penalty kubebwa arsenal hatutegemea maamuzi ya.refa.. Yaani wewe ulempira hukuuona ulipodondokea mikononi.mwa. msela.yule..
kweli goonerz mpira hamjui, kwa hiyo kila mpira unapogusa mkono ni penati sio? ingekua hivo si ungekuta kuna penati kwenye karibia kila gemu?