Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Tv leo magoko mengi
Kawa kama Gallas siku ya game ya Spurs na ChelsickVermaelen game imemkataa leo .. ... ... .duh!
Huyo nae ni GALASA tu so far.......Hana msaada wowote kwa timu.....ra halafu anatembea........Eti lone striker!.......Anawatesa wenzie tu
Kaelgea sana, anapoteza mpi
Bora aingie hata Chamakh ama Arshavin...........
Tuwe wakweli hata draw itakuwa bahati sioni kama tunahitaji point 3
Keshamuingiza WalcottARSENE has never learned from his previous mistakes sub mpaka dakika ya 70 na atamtoa Podoski
Hii timu yenu burudani kweli,juzi tu mlikuwa mnataka Vermalen acheze na Matasaka mkisema Laurent ni garasa
Mkuu mpira una siku yake.....Kuna siku game inamkataa mtu, leo game imemkataa TV5, kama uliangalia game ya Chelsea na Spurs utaona jinsi game ilvyomkataa Gallas kiasi cha kutoa pasi za magoli mawili ya Chelsea.....Hii timu yenu burudani kweli,juzi tu mlikuwa mnataka Vermalen acheze na Matasaka mkisema Laurent ni garasa