Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah..........


Safi sana Manonne.........Mungu akubariki kwa kuokoa hilo goli la RVP.....

Evra katuua....

Man Utd 2-0 Arsenal
 
Poor marking by TV5.....

Evra kafunga goli mbele ya Vermaellen........

Siku ya kufa nyani....

BEKI yetu imekata tamaa kabisa......

Anderson anatukosakosa.......
 
That was offside na refa kawapa kona iliyowapa goli .. ... .. absotulely pathetic .. ... ... .. .. ... ..

Red card kwa Jack .... ..
 
In Arsene I hate namwona kama ndo tatizo number moja pale mpuuzi sana huyu babu to Hell
 
goners mnajua hiki ndo kikosi chetu best! hahaha! sio siri tumekamatwa beki.. striker .. hamna kitu!
 
duh!cjui kama tutaweza hata kurudisha!
Tukubali tu kwamba tumeshinda hii game..........

Tujipange kwa ajili ya msimu ujao......

Tukisema 'Another trophyless season in the making mnasema sisi wasaliti'

Wilshere kalambwa Red......


Game za Man kama kawa......Lazima wapewe penati na lazima mtu alambwe RED.....

 
Huyu Giroud sijaona lolote ule mdomo kwamba anakuja kumreplace RVP naona umeshakwisha... Man Utd wamecontrol hili game from the start.Midfield yao ipo juu mara 3 yetu. Beki yao imetulia kuliko yetu.. Arsenal msimu huu hatupati nafasi ya CL. Naona wanaweza kutupiga goli 4 kama sio tano leo.
 
Poleni sana watani wetu wa zamani hali yenu inazidi kuwa tete.
Bala imekuwaje kwa upande wa UK unashabikia timu ya kukupa ugonjwa wa moyo!?
 

Hatuwezi kumaliza trophyless msimu huu mkuu, kuna kombe jipya la Wenger la ku-qualify champions league
 
Kwa nini Mr, Bean hakumtoa Wilshere mapema,mwenzie Fegi kawahi kumtoa Cleverley
 
Siwapendi manure, lakini ngoja mzabwe tu, mnachonga sana. Katimu kenyewe hakashindi kikombe chochote lakini maneno, lah!
 
Tuwe wakweli hata draw itakuwa bahati sioni kama tunahitaji point 3

so far short on target kwa upande wa arsenal ni nil (0) hata kama ni hiyo bahati labda wakaisubiri bandarini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…