Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haiwezekani sie wote tuone kuwa Santos Chaka... Eti AW na Steve Bould ndo wawe hawajaona... That Penalty Miss iwe motivation
 
Kawapa penati bwana, i thought twas a ball to hand! kakosa kudadadeki. Allah Akbar, Mungu mkubwa!
 
Mungu mkubwa.........

Wayne Rooney kakosa PENATI......Aibu yake Mike Dean

Labda atawapa nyingine
 
Arteta anafanya kazi ya Santos!!!.......

Kila wakati anazuia mashambulizi upande wa kushoto.....
 
Half Time

man Utd 1-0 Arsenal

Tumecheza vizuri though.....

Wenger aache ukaidi.......Afanye sub haraka......amuingize Walcott, amtoe Ramsey/Giroud
 
Santos anaenda kuomba jezi ya van persie mapema yote hii?


Wenger kama anania nzuri amlete Walcott na kumtoa Ramsey
 
Sio Santos tena??!
Anayepaswa kutoka ni Ramsey.........

Yes.......na Santos, atoke Santos aingie Koscielny

Santos kachkua jezi ya RVP akijua fika kwamba hatarudi uwanjani 2nd Half........
 
na huyu geroud naye sioni impact yake, kwa kifupi attacking zone hakuna cha maana sana kinachofanyika
Huyo nae ni GALASA tu so far.......Hana msaada wowote kwa timu.....ra halafu anatembea........Eti lone striker!.......Anawatesa wenzie tu

Kaelgea sana, anapoteza mpi

Bora aingie hata Chamakh ama Arshavin...........
 
Anayepaswa kutoka ni Ramsey.........

Yes.......na Santos, atoke Santos aingie Koscielny

Santos kachkua jezi ya RVP akijua fika kwamba hatarudi uwanjani 2nd Half........

Wenger akifanya sub half time itakua maajabu ya dunia. Jamaa mgumu sana kufanya mabadiliko mapema hili kuitafutia timu ushindi.

Anajua ana weza kumtumia TV kule kushoto lakini mgumu sana kufanya maamuzi.

Anawaambia board wamalizane na Walcott by december na kwamba anamtaka lakini bado anamueka bench. Anatuma ujumbe gani kwa board?
 
na huyu geroud naye sioni impact yake, kwa kifupi attacking zone hakuna cha maana sana kinachofanyika

Giroud mzembe tu mwingine katuletea.haikua na maana kwenda kutafuta striker ufaransa wakati kuna ma striker wazuri tu kwenye premier ambao washazoea ligi
 
2nd Half inaanza......

Valencia kakosa goli la WAZI.......Uzembe wa TV5 tena....dah
 
Back
Top Bottom