Subiri dakika 90 ziishe ndo uje utupe pole ama utupongeze.......Umesahau last week matokeo yalivyobadilika dakika za mwisho ikawa Chelsea 2-3 Man UtdNaruhusiwa kutoa pole in advance?
Na ndiye anatugharimu.......Kazidiwa kabisa na Valencia na mashambulizi yote yanapitia kwakeNingekuwa AW... Beki ya kushoto ningemchomoa Santos, Then TV akacheza kushoto kisha KOS akaingia.... Santos anavuja saaaana.....Jamaa washajua njia....
Dah!...............
Tunashambuliwa sana.......Ngoma nzito........
Vito Manonne anafanya kazi ya ziada leo....Beki yetu imepwaya
Wenger amtoe Santos.....
Santos anazingua kule kushoto, Wenger vipi hajaona hiyo?
Ha ha haah!! Sijui wamepatwa na nini leo.Giroud anapotzea mpira anaanza kutembea badala ya kukimbia kukaba........Kalegea sana huyu mtu