Nyaluhusa87
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 1,303
- 262
kweli ha2wezi kumzuia huyo rvp
Huyu jamaa hana hata huruma na sisi jamani? Hapa ndo namkumbuka Henry manake kwanza asingekubali kuanza katika kikosi cha kwanza against Arsenal!!!!RVP...
Linaloniuma zaidi ni kuwa yule mzee wetu hajifunzi kabisa kurekebisha makosa. Mbaya zaidi haoni kama kuna shida katika mfumo wake!!!Duh mapema sana kuanza kuruhusu magoli ya kizembe
Muda bado sana mkuu....Huyu jamaa hana hata huruma na sisi jamani? Hapa ndo namkumbuka Henry manake kwanza asingekubali kuanza katika kikosi cha kwanza against Arsenal!!!!
Game yetu hii wakuu.....Muda bado sana...
Tusikate tamaa......Wakati mwingine ni heri kufungwa dakika za mwanzoni na kuanza kutafuta goli la kusawazisha na baadae la ushindi kuliko kufungwa dakika za mwisho...
COYG
Asante, lakini muda bado sana tunasawazisha na tunaondoka na ushindi.Naruhusiwa kutoa pole in advance?