Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Toeni hela asije akakimbia mkaanza kumuita msaliti
 
dakika ya 38 Reading 4 Arses 0.
hahahahahahaa!

In Wenger you trust, LOL.

shocking..............

AW uwezo wake ki mbinu umeishia hapo he is too concervative bora awe scout wa vikinda baas! "Arsene Knew"

Ila kwa ka-msaada ka refa na mshika kibendera!

Drama, Arse are given Fergi time and took it, 4-4.

hahaha, what a cricket score! Reading 5 Arses 7.
Nice defending for both sides....LOL.

What a game tonite...12 goal thriller.....to be honest i enjoyed tonite's game...well done goonerz...penye pongezi natoa... extra time ililkua dakika nne lakini refa akaongeza zingine moja na nusu na walcott akafunga dakika ya tano...ingekua ni man utd hapo mngesema refa katubeba...ila goonerz wote mtakaa kimya mtajidai hamkuona....mimi nasemaga hapa siku zote kila timu at some point watapata bahati watabebwa na refa iwe ni offside goal iwe ni dakika zimeongezwa iwe ni penati whatever...karibuni theatre of dreams jmosi ila mjue tukiwafunga goli nne hamtazirudisha old trafford...:happy:

Well done kwa ushindi. It's rare you see such an open game.

Toeni hela asije akakimbia mkaanza kumuita msaliti

Wanoko walijaa tele kama pishi la udaga ...... chacha wanaona soni khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ... ... mpira bado unadunda ... ..... ..

NB kuna mtu kalalamika eti goli limefungwa dakika ya sita .. .... .. FTI 30 seconds refa aliongeza kwa substitution , yule mchezaji kuingia akawa anavuta muda refa akaongezaanother 30 seconds ... ... ... Golkick kutka kwa kipa refa aliamua irudiwe akaongeza 30 seconds hivyo hizo ni dakika 1.5 baada ya hapo muda umekwisha na refa anaangalia saa wakati akiangalia Gunners wakaweka goli la kusawazisha. |Hata Reading wenyewe hawalalamiki ... .. unga ulizidi maji ... ..

QUARTER-FINAL DRAW
Bradford v Arsenal
Leeds v Chelsea*
Swansea v Middlesbrough
Norwich v Aston Villa

Ties to be played w/b December 10

*Chelsea's match will take place a week later due to their Club World Cup commitments
 
Theo 'bolt' Walcot set for a striker role against manchester united.(Total football Madness).Naziona penati halali nje nje!
 
QUARTER-FINAL DRAW
Bradford v Arsenal
Leeds v Chelsea*
Swansea v Middlesbrough
Norwich v Aston Villa

Ties to be played w/b December 10

*Chelsea's match will take place a week later due to their Club World Cup commitments

You can say it again....champions of Europe.
 
Kesho inabidi Vamelline acheze beki ya kushoto ili kumkabili Valencia, Santos hatoweza kumkaba yule vingnevo tusubiri maumivu katikati acheze Per na Kols afu kulia Sag
 
Kesho inabidi Vamelline acheze beki ya kushoto ili kumkabili Valencia, Santos hatoweza kumkaba yule vingnevo tusubiri maumivu katikati acheze Per na Kols afu kulia Sag

if possible awachezeshe wote santos na varminator upande mmoja!
 
if possible awachezeshe wote santos na varminator upande mmoja!

:biggrin1: nawaona mnapanga tactics wenyewe yaani kesho valencia na young wataenjoy sana maana full backs wa arsenal ni marehemu hakuna kitu pale...jinsi valencia na rafael watakavokua kua wanapita ule upande wao wa kushoto am loving it van persie/chicha watapewa cross washindwe wenyewe
 
kuna wale washabiki flani wa arsenal wamepotea ghafla, season ilivyoanza walikua wananicheka kua man u imefungwa wakati wao they r unbeaten mara sie tunaachia magoli wakati wao wana keep clean sheet sijui wako wapi siku hizi...au ubize wa maisha? najua kesho arsenal ikishinda wote wataibuka hapa
 
hehehe... naona unaongea huku hujiamini.. hehe and u should! .....

jeshi la washika bunduki tumejaaa tele hapa .. hakuna aliyekimbia

kuondoa stress pitia hapa Home | Arsenal Player
 
Chitaona jinsi wanavyotaka kutoka na kajeshi ka kukodi maana marefa wameshashitukiwa na zile bahasha ndio kwanza darubini zinaanza kuonekana .. ... ... ....
 
Naomba mara mia wampange Jekinson namba 3 na si Santos maana??? mmm au acheze Varmaelen otherwise Valencia atatumaliza!!!!!!!!!!!!

my prediction line up: manone,sagna,varmaelen,jekinson,per,carzorla,wilshere,arteta,walcott na giloud

Substitution: martinez,koscielnly,gnabry,ramsey,arshavin

Match prediction Man utd 1-2 Arsenal
 
ewe mshabiki wa arsenal ukisoma post hii naomba ujibu tafadhali,ukiambiwa chagua moja kati ya matokeo haya utachagua lipi lenye unafuu

1.man utd 3-0 arsenal...magoli yote ya man utd kafunga VAN persie
au
2.man utd 8-2 arsenal....magoli yote ya man utd kafunga chicharito,na hayo mawili ya arsenal ni rooney kajifunga

JE NI MATOKEO GANI KATI YA HAYO MAWILI YENYE NAFUU KWENU????????balantanda?viper?quest?wacha1?oxlaide chembalaini?na wengineo naomba majibu tafadhali
 
kinda foolish question.
 
Back
Top Bottom