Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Safe hands: Wojciech Szczesny stepped up his recovery from injury when he returned to training. Wanoko wanaanza kuweweseka na timu yetu ... .... ...
 
Kwa usajili mliofanya mwaka huu, lazima mchukue ubingwa! Naona Mark Clattenburg anatishia namba ya Webb. Vipi, ni yupi mtampanga Jumamosi ijayo?
Wewe ni bonge la MNAFIKI,unaongea goli la offside la Arsenal wakati Manure mlihitaji goli la offside kushinda timu ya Chelsea yenye wachezaji 9, na hausemi kitu.

Wajiandae kumsajili mike dean ili awabebe j moc
 
Team in full: Martinez, Jenkinson, Djourou, Koscielny, Miquel, Coquelin, Frimpong, Walcott, Arshavin, Gnabry, Chamakh.
Subs: Shea, Meade, Squillaci, Bellerin, Yennaris, Eisfeld, Giroud.
 
haya bana.... Kimeshanuka... Jason roberts... Reading 1 sisi 0.... Naenda kulala.....Upuuzi mtupu.....
 
champions league place is more important than a trophy/medal

READING 3 ARSENAL 0

bora questt ukalale tu hakuna kitu, wenger hana time na vikombe mbuzi hivi yeye anataka kucheza champions lg tu basi
 
Dakika ya 32

Reading 3-0 Arsenal

Hii ni fedheha sasa.........AIBUU

Wanasema(ga) 'Arsene knows'........Kazi kwelikweli
 
Kweli huu upuuzi mtupu!!!

zaidi ya upuuzi kaka....Tushapigwa 3-0 na Reading..... bado Jmosi tunacheza na Utd..... Its time up for AW to go.... He has no more to offer!!!! Usmanov atake charge.... leta Pep Guardiola team irudishe heshima....
 
36 minutes gone 4-0. hata ningekuwa na moyo wa chuma... Sitaweza vumilia huu upuuzi.... So sorry for the Travelling fans.....
 
Dakika ya 45

Reading 4-0 Arsenal

Hii ni fedheha sasa.........AIBUU

Wanasema(ga) 'Arsene knows'........Kazi kwelikweli
 
zaidi ya upuuzi kaka....Tushapigwa 3-0 na Reading..... bado Jmosi tunacheza na Utd..... Its time up for AW to go.... He has no more to offer!!!! Usmanov atake charge.... leta Pep Guardiola team irudishe heshima....

In Wenger you trust, LOL.
 
wenga.jpg
shocking..............
 
haya bana.... Kimeshanuka... Jason roberts... Reading 1 sisi 0.... Naenda kulala.....Upuuzi mtupu.....

AW uwezo wake ki mbinu umeishia hapo he is too concervative bora awe scout wa vikinda baas! "Arsene Knew"
 
kitu ambacho ni muhimu sasa kwa hii club ni mapinduzi(revolution)coz so far hakuna watu ambao wako serious kwa ajili ya kulinda heshima na hadhi ya hii club zaidi ya kila kuendelea kuvunja historia nzuri iliyojijengea nje na ndani ya england(kuweka historia mbovu) na ni zaidi ya miaka 7 sasa without even a single trophy na hakuna jitahada za makusudi na za maana sana kuepuka hili mwisho wa siku timu bado haina uelekeo unaoeleka...kuna tatizo arsenal sio bure
 
Tatizo ni Peter hill-wood,gazidis,kroenke na Wenger si mtu wa mbinu kali za game "fitna" kama Fergie ila kwa jinsi Fans walivyoreact kwenye AGM na board next summer kutakuwa na tickets boycott...wamechoka aisee
 
Back
Top Bottom