Geviinho hovyoooooo
Dakika moja ya nyongeza
Vijana wanapaki basi sijapata kuona......Wanashambulia pia
Kutaka Holt awe offside ilhali hawana mbio ndio uzembe wenyewe huo mkuu.......Kwa nini wacheze mbinu ya kuvizia offside?...nmeangalia revise angle ya gol pale mabek hawakuzembea walikuw wanataka holt awe off side kama angepacwa bt ndo vle jamaa alishoot instead of pacng the ball na kitendo cha mannone kutema mpira kilifuta off side so no body z 2 b blamed on dfenc