Rejao
Ndugu punguza munkarati maana hata Jekinson alitukanwa sana hapa! Be patient and try to reserve your comments wakati mwingine...akianza kufunga hutapata majibu ya kujibu wadau hapa Jamvini usiwe kama kale kashabiki ka MANURE
1.mkuu wakati Gilberto anaachwa benchi mwanzoni mwa season ya 2007-2008 kila shabiki alilaumu sana lakini tuliona alichofanya FLAMINI from zero to hero
2.Unakumbuka Tulivyokuwa hatuna subra alipokuja Eduardo da Silva huyu tena ndo alikaa sana bila kufunga lakini alipozoea akawa Prolific Goal poacher kabla ya kuvunjwa mguu pale st. Andrews feb 2008
3. Alipotua Berbatov Manure mwaka 2008 1st entire season ilikuwa misery lakini je uliona alivyokuwa Top scorer season iliyofuata?
4. Kushindwa kufunga hakumaanishi mchezaji mbovu je Pappis Demba Cisse mbona hafungi? Shevchenko na Mateja Kezman walikuja Chelsea kama prolific strikers lakini wakafeli je kweli walikuwa WABOVU jibu hapana
Alafu Arshavin amekuwa Left winger sio Midfielder ila natural position yake ni 2nd striker a.k.a no. 10
Mi naamini presha aliyonayo
Giroud ni kubwa na anakamia kufanya vizuri ndo maana inamgalimu hayuko RELAXED