Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Hatimaye jamaa kafunga.Arsenal 1 - 0 Coventry. Olivier Giroud 38'

But Giroud alikosa penalty na hakucheza vizur!! Naona kama Walcot na Arshavin wanaiweza vizur zaidi hiyo nafasi ya Giroud!Hatimaye jamaa kafunga.
But Giroud alikosa penalty na hakucheza vizur!! Naona kama Walcot na Arshavin wanaiweza vizur zaidi hiyo nafasi ya Giroud!
Inabidi tu Wenger akubaliane tu na hali halisi kuwa Giroud baado kabisa!
Nimekuwa nikifuatilia impact ya kila mchezaji kwenye games mbalimbali. Ukiangalia Arshavin, akicheza kama namba kumi, anakuwa na uwezo sana especially kwenye assists. Walcot naye licha hayupo consistency, but anakuwaga na impact! Giroud ana nguvu but bado hajui kujiposition, game ya jana tungekuwa na striker anayejua kujiposition, tungeshinda hata goli kumi.Hapana mkuu!! Hata van kule manure penalty ya Kwanzaa alikosa.. girold needs time!!! Ninavyoamini Wenger hakosei!. Kina berkamp walikuja ku score baada ya match tisa
naombeni highlights za game!
Nimekuwa nikifuatilia impact ya kila mchezaji kwenye games mbalimbali. Ukiangalia Arshavin, akicheza kama namba kumi, anakuwa na uwezo sana especially kwenye assists. Walcot naye licha hayupo consistency, but anakuwaga na impact! Giroud ana nguvu but bado hajui kujiposition, game ya jana tungekuwa na striker anayejua kujiposition, tungeshinda hata goli kumi.
Hapana mkuu!! Hata van kule manure penalty ya Kwanzaa alikosa.. girold needs time!!! Ninavyoamini Wenger hakosei!. Kina berkamp walikuja ku score baada ya match tisa
But Giroud alikosa penalty na hakucheza vizur!! Naona kama Walcot na Arshavin wanaiweza vizur zaidi hiyo nafasi ya Giroud!
Inabidi tu Wenger akubaliane tu na hali halisi kuwa Giroud baado kabisa!
Nimekuwa nikifuatilia impact ya kila mchezaji kwenye games mbalimbali. Ukiangalia Arshavin, akicheza kama namba kumi, anakuwa na uwezo sana especially kwenye assists. Walcot naye licha hayupo consistency, but anakuwaga na impact! Giroud ana nguvu but bado hajui kujiposition, game ya jana tungekuwa na striker anayejua kujiposition, tungeshinda hata goli kumi.
Arsene knows and he is much experienced than everybody here! WHO KNEW Jekinson would be like how he is now? Who knew Szchezny,oxlade,varmaelen,koscielny? Najua anapikwa maana hata EDUARDO alianza kama jamaa akaja kuwa Prolific goal scorer kabla ya Ile terrific leg breaking injury
Giroud hajui kujiposition? Yani kweli ukimchukia mtu huoni uzuri wake. Basi moja ya strong attributes za Giroud ni kukaa kwenye nafasi. Mechi ya Sunderland na Liverpool kwa mfano alikosa nafasi 2 za goal lakini angalia alivyojipanga ili apewe pasi!
Mi nadhani mashabiki wa Arsenal wengine hatujiamini. For a guy who just joined us, you are worrying a lot.
R. Pires has spoken and said he personally took 5-6 months to get going in the league.
Btw, how many years did RvP take till he was unformidable? Patience.

Mimi nadhani tumpe muda zaidi jamaa huenda atafanya maajabu.
Arsene knows and he is much experienced than everybody here! WHO KNEW Jekinson would be like how he is now? Who knew Szchezny,oxlade,varmaelen,koscielny? Najua anapikwa maana hata EDUARDO alianza kama jamaa akaja kuwa Prolific goal scorer kabla ya Ile terrific leg breaking injury
Help me out here...For a team which has never won a single trophy since 2005 and has never won the champions league are prepared to charge their fans £62 for a top game why?
MAN UTD are making profits as well as winning trophies, Arsenal are making profits with no single trophy, so ARSENAL are basically a business club..they're there to make money and pay dividends to their shareholders(kroenke etc), would arsenal fans prepare to have £50m pounds just laying there or a champions league medal? Viper, kashengo, mwanaafrika and the rest please explain this to me.
Giroud hajui kujiposition? Yani kweli ukimchukia mtu huoni uzuri wake. Basi moja ya strong attributes za Giroud ni kukaa kwenye nafasi. Mechi ya Sunderland na Liverpool kwa mfano alikosa nafasi 2 za goal lakini angalia alivyojipanga ili apewe pasi!
Mi nadhani mashabiki wa Arsenal wengine hatujiamini. For a guy who just joined us, you are worrying a lot.
R. Pires has spoken and said he personally took 5-6 months to get going in the league.
Btw, how many years did RvP take till he was unformidable? Patience.
Help me out here...For a team which has never won a single trophy since 2005 and has never won the champions league are prepared to charge their fans £62 for a top game why?
MAN UTD are making profits as well as winning trophies, Arsenal are making profits with no single trophy, so ARSENAL are basically a business club..they're there to make money and pay dividends to their shareholders(kroenke etc), would arsenal fans prepare to have £50m pounds just laying there or a champions league medal? Viper, kashengo, mwanaafrika and the rest please explain this to me.
Naunga mkono hoja.Yule traitor RvP pale Old Toilet ameshakosa pen tayari ni kawaida sana tu.Mkuu Giroud ameanza mechi 4 tu. Katika hizo ana assist 2 na goal moja. Na assist mojawapo ni ya jana kwa Arshavin, pamoja na goal lake that is not a bad perfomance. Usitarajie maajabu overnight, tumpe muda he'll get there.