ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Yaani hawa wetu kabisa.... basi tu.... Santiago Cazorla kakosa vp tu sijui pale....Then ryt now Diaby ka try...
ngoja tuone...mnavyo kufa..
Yaani hawa wetu kabisa.... basi tu.... Santiago Cazorla kakosa vp tu sijui pale....Then ryt now Diaby ka try...
naona diaby kishaanza natamani aumie..
Tehe tehe eeh!! Dua la kuku....
naona diaby kishaanza natamani aumie..
Inaonekana kama kaumia...kwanin wenger kamtoa diaby jaman?
Tutarudi. Tu
REV umefufukia wapi????