MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Hongera sana gunners wenzangu.
Draw za nini mkuu? We have to win these games ili tujiweke pazuri.
leo hatulali🙂) khe khe....hongereni kwa ushindi mnono!!
Mimi golini tu pale naona Woj. aendelee kukaa benchi.
Nakuunga mkono,leo mannone hakuwa happy kabisa pale bench.
Prof huwa ananifurahisha sana, gemu likianza huwa ndani ya suti, lakini kichapo kikianza anavua suti an piga jaketi.
nategemea zawadi yangu ya bday leo kutoka kwa gunners kwa ushindi mkubwa
itakuwa safi tukitoka na clean sheet ili haters wazidi kuumia
ebana ingawa tunaongoza bao nne! jamaa walivyorudisha kimoja tu! hizo sms nilizotumiwa!! eti ohh! mshaanza kufungwa sasa! haters walikuwa wanasubiri wavu wa goners utikiswe tu! kumbe ile cleansheet ilikuwa ikiwauma sana
Tunatesa leo....Van who?
![]()
Happy Birthday Mkuu Oxlade-Chamberlain
May be,,,,,, But Sidhani kama the N'castle Mess can happen here......
yaaaani nimelisubiri hili goli for more than a long Time..... hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
Watu wanawapima arsenal kwa kutumia man city na man utd! wana tu underestimate sana!! tutakuja kuwashangaza tu!
Vijana walikusikia .... ..... hongera sana sasa mbona umekula keki peke yako?
Bora clean sheet imeondoka leo kuliko kuipata kwa wapinzani wetu wa jadi, cha muhimu tusipoteza mechi.
Na bado mwaka huu watakoma.
Judas Iskarioti aliwekwa kuwapooza mashabiki wa Manyu, mechi ijayo anakwenda kitandani moja kwa moja.
BAK ungetuma na keki kabisa ukate mzizi wa fitna .... .... ...
Mkuu mechi ya New Castle Diaby alipigwa red kukawa na pengo pale, mwaka huu tunao tu hawa na kikosi kinaendelea kuimarika I mean Jack the lad, Rosicky na Diaby ni kama new signings ... .... .....
It will come mate, its just a matter of time tena litakuja kwa timu kubwa sio hizi timu mbofu mbofu .... ....
Affirmative.
Hamlali na nani? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hatulalni na kelele zetu..angalau na sie tumeshinda, kama kawaida yetu..khe khe!!
hatulalni na kelele zetu..angalau na sie tumeshinda, kama kawaida yetu..khe khe!!
hatulalni na kelele zetu..angalau na sie tumeshinda, kama kawaida yetu..khe khe!!