BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Tatizo la hii timu yetu ndio hapo kuruhusu magoli ya kizembe, unaweza kushangaa yakarudi yote hayo...
Asante sana mkuu
golikipa we2 kaweje mbona anapiga mipira mibovu hivyo au bench limemchanganya!
kakusikia kaka.....sasa wenger amelete Giroud aje kutoa gundu
giroud funga hata 1 basi leo!
giroud funga hata 1 basi leo!