nategemea zawadi yangu ya bday leo kutoka kwa gunners kwa ushindi mkubwa
Happy birthday mkuu...
OG kaka.... Cross ya KG againNilichomoka wakuu cha nne kapiga nani?
OG kaka.... Cross ya KG againNilichomoka wakuu cha nne kapiga nani?
Asante sana mkuu
Tatizo la hii timu yetu ndio hapo kuruhusu magoli ya kizembe, unaweza kushangaa yakarudi yote hayo...
Mimi taweka bench wojciech!onhooo!
mkuu happy b.day! vijana wanakua zawadi leo! tulia hapohapo