Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wacha1, umeona kitu cha RVP kule kwetu? anyway, game bado linaendelea🙂)))
 
Last edited by a moderator:


Hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..... Nipo kwako kule... Naona mmeshakua one man team... wote mnategemea RvP!!!! hahahahahahahahahaahaaaaa
 
Hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..... Nipo kwako kule... Naona mmeshakua one man team... wote mnategemea RvP!!!! hahahahahahahahahaahaaaaa

Hauna lolote, wivu bado unawasumbua juu ya RVP..hamuwezi kusahau alivyowatosa🙂 Asipofunga mtasema vilevile, akifunga ndo hivyo one man team!! khe khe khe
 






UP AND RUNNING ... Lukas Podolski celebrates
after opening the scoring






... Podolski goes flat out to celebrate ....

 


Deadly duo: Lukas Podolski (right) and Santi Cazorla
inspired Arsenal to victory over Liverpool at Anfield

 
Chacha bila Arsenal kuwasaidia mngekuwa wapi? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Toka lini mmeanza kusaidia watu na timu yenu inayofanana na Super Market!!!???
Ninapoenda kununua mahitaji yangu kwenye Super Market siendi kuomba msaada natumia pesa yangu kupata kitu chenye quality ninayohitaji.
Keep on being a cash sale store.Glory Glory Manchester United.Long live our Hat-trick hero Van Persie.
 
Hivi wakuu, Carzorla anatumia mguu gani?.......Maana anatumia mguu wa kushoto kama anavyotumia mguu wa kulia....

Ananikumbusha enzi za mtaalamu Pavel Nedved......

Hata huwezi kujua mkuu. Yeye mguu wowote yuko vizuri. Ananifurahisha sana dah.
 
Mkuu, haya ni maneno ya kunifariji tu ili nisikate roho....lakini ukweli ni kwamba leo hatutoki pale

Natamani Livapuli wawatungue kesho, ha ha ha!!
Tutatoka mkuu


Arsenal subirini mpata kipigo toka kwa liverpool ndio muanze kujipanga upya bado hamja pata starter








Sina la kuongeza wakuu!
 


Prof akiangalia jinsi ya kuwabangua Loserfools ....





Pick that out: Midfielder Santi Cazorla smashes in
Arsenal's second goal against Liverpool




Usimwambie mtu ......




Kijana hakuna njia hapa.. ...
 
‘It’d be a huge statement to win at Anfield’








By Rob Kelly

Carl Jenkinson says Arsenal can make a “huge statement of intent” by claiming their first win of the season at Liverpool on Sunday.......that was a day before da game!!!


"That was prophetic gud boy Carl!!! You did it . now go gooners"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…