Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Reports today suggest our beloved Arsene wenger wants Michael Essien on loan. Now with all due respect...why would essien wanna leave chelsea who would competing for the league title and move across the city and play for arsenal...why?
 
schalke na olympiakos si mchezo hapo...Arsenal itabidi wajitahidi angalau washinde home games zao.. maana na hivi your experienced players wamewakimbia i fear for you guys in the champions league this season but good luck anyway
Mjomba mbona huzungumzii timu yako?
 
Reports today suggest our beloved Arsene wenger wants Michael Essien on loan. Now with all due respect...why would essien wanna leave chelsea who would competing for the league title and move across the city and play for arsenal...why?

Nenda hapa www.arsenal.com...fanya registration, then unaweza kupokea Daily emaily za AW baada ya mechi nadhani swali linamhusu yeye hili

Au kwenye hiyo tovuti ingia pale Contact Us..pale wanaweza kukupa msaada...I think that will be useful au sio?
 
Mjomba mbona huzungumzii timu yako?

Team yetu imepangiwa na vibonge tu so pale hakuna mjadala..:biggrin1: hua nasemaga hivo afu babu fergie anaanza kupanga timu za ajabu afu hata group tunakua hatutoki bt sasa hivi tuna RVP aah tunashinda group
 
:biggrin1: wewe si ndio spokesperson wa AW hapa JF ama? nachotaka kujua kwanini wachezaji ambao wako ambitious and they want to win medals and trophies they sign for arsenal wakijua that team hasnt won anything since 2005? Nijibu babu pls!! :biggrin1:

Ni bora ukaipata toka kwa Manager mwenyewe! Kwani we ndo Msemaji wa AF hapa JF? Fergie analijua hilo? Ahaaa ahaa ahaa
 
Team yetu imepangiwa na vibonge tu so pale hakuna mjadala..:biggrin1: hua nasemaga hivo afu babu fergie anaanza kupanga timu za ajabu afu hata group tunakua hatutoki bt sasa hivi tuna RVP aah tunashinda group

Nisaidie hizi ni timu za aina gani?
 
Hakuna dalili zozote za usajili mpya wakuu!!


Wenger ametamka leo kwamba kuna Rosicky, Wilshere na Sagna ambao wanarudi kutoka kwenye kuwa majeruhi akimaanisha kwamba kwa sasa hawaitaji kusajili.

Lakini bado kuna mihangaiko ya hapa na pale.

Mourinho amemchukua Essien na Clint Dempsey amechukuliwa na Spurs kwahio tusubiri kama kuna chochote.
 
Sasa povu la nini mkuu MwafrikaHalisi? Wala sikatai, ulisoma alivyoosema kuhusu usajili hata baada ya kuwasajili kina Podorsky? Kama tunakwenda kwa hoja wala hatupaswi kulumbana mkuu. In short tarehe 22/8/2012 alisema hivi "We are expecting to have two more players in the Squad before the deadline" Kwanini aseme hivyo wakati alishasajili hao "watatu"? Ukiona mtu anatumia nguvu kutetea hoja ujue uzito wa hoja yake ni mdogo!!!!!!

Naelewa mkuu, lakini pia alisema anataka top quality players and not unproven. Well I'm also frustrated about this but I believe we have a good XI. Tatizo ni pale majeruhi yanapoanza... hawa wazee wetu naona wanazeeka vibaya
 
Dirisha la usajili limefungwa.

Arsenal hawajathibitisha chochote kuhusu usajili na wanajiandaa na mechi na Liverpool hapo Jumapili kule Anfield.

Lakini wapenzi wa Arsenal wana imani na kikosi kilichopo na kwa kuzinagtia rekodi ya msimu uliopita, msimu huu kuna dalili ya kufanya vizuri zaidi.

Ila kitu cha msingi ni kwamba timu nyingi ambazo hazikuwa na tabia ya kutumia pesa, msimu huu timu kama Spurs milioni 56.6 na QPR (ambao wamesajili wachezaji 12!) na West Ham ambao wamenunu wachezaji 10, zimetumia pesa kuwekeza kwa ununuzi wa wachezaji ambao wanadhani watawasaidia kufika mbali kwenye kampeni ya msimu huu.

Arsenal wanataka kuandika maelezo Jumapili kwa kuanza na ushindi dhidi ya Liverpool.

Comeon Arsenal!
 
Naona usajili umefungwa na sasa tunaingia vitani rasmi na jeshi letu tuliokua nalo.

Kila la kheri Arsenal Football Club.

Pamoja
 
Arsenal 1st & 2nd choice XI. Thoughts?
 

Attachments

  • ARSENAL XI.png
    ARSENAL XI.png
    69.4 KB · Views: 28
article-2196495-1499C518000005DC-453_468x334.jpg


Tough times: Arsenal have yet to hit top gear
so far this season .... ..prof. kama kawa ...


article-2099736-11AEC9AC000005DC-38_634x415.jpg


Laurent Koscielny is back kwa mtanange wa kesho ... ...



szczesny_532x630_1460941a.jpg


Wojciech Szczesny yupo 50-50
Je ...
Jack na Sagna ... ... oooops tusimwage mtama . ..


 
Arteta akiumia sijui ni nan wa kukava nafasi yake ya holding midfielder! Coquelin na Diaby siyo wakutegemea kabisa! Strikers ni kama hatuna kabisa, maanake tunawategemea Giroud na Chamakha kwa sasa. Still nina wasiwasi na kikosi cha sasa!!
But all in all Wenger knows!!
 
Back
Top Bottom