Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,824
Nadhani ni aina ya uondokaji wa wachezaji wenyewe ndo huwa inawaumiza wadau wenzangu wa Gunners,wengi huondoka kwa sababu ya maslahi duni ndani ya Arsenal(kitu ambacho kuna kipindi mimi huwa nawaunga mkono)...Hata ningekuwa mimi,najiona kabisa nina mchango kwa timu na ndiye injini ya timu(mfano Song) nalipwa Pauni elfu 50 wanakuja Barca na dau la elfu 80 kwa kweli siwezi kulaza damu.......Lazima nitaondoka maana mpira ndo kazi yangu nammfanyakazi yeyote yule huangalia wapi kuna maslahi mazuri....Tusiwaone wachezaji ni wasaliti kwa kukimbilia sehemu zenye maslahi mazuri na kuwaita majina ya ajabu ajabu.....Tukae chini na kuangalia tatizo liko wapi.....Tujiulize kwa nini kila siku/msimu ni Arsenal tu?, 'Why always Arsenal'?....Jirani mambo vipi.
Najua kabisa Walcott kiwango chake kimedumaa, hata mimi ningemwambia aondoke....Tatizo langu ni huu utamaduni unaojitokeza kwa baadhi ya washabiki especially wa Arsenal, wanakuwa wakali kupita kiasi kwa wachezaji walioondoka Arsenal. Utakuta mtu anaongelea mapungufu tu bila kuonyesha kwamba yule mchezaji alitoa mchango wowote alipokuwa Arsenal. Mapungufu haya hayasemwi wakati mchezaji hajaamua kuondoka. Kwanini tusijifunze kusema "ahsante kwa mchango wako kwenye club na tunakutakia mema huko uendako"....huu ndio ustaarabu. Kumbuka mchezji ni binadamu kama walivyo wengine, anazo haki zote za msingi ikiwa ni pamoja na kufanya maamuzi kuhusu career yake.
Na hakuna dalili za kuuzwaBinafsi kuna wachezaji ambao naomba kila siku waondoke Arsenal......
Hawa ni pamoja na Walcott, Diaby, Djourou, Fabianski, Arshavin, Squillaci na Chamakh......Hawana msaada wowote kwa timu......Ni bora wauzwe tu wote na kusajili hata wachezaji wawili ama watatu wa maana....
Na hakuna dalili za kuuzwa
Kundi la Arsenal kwa ujumla.
Kundi B
Arsenal
Schalke (Germany)
Olympiakos (Greece)
Montpellier (France)
Raha kwelikweli.
Mambo ya Wenger daima huwa ni kutenda kama zimamoto, msimu woooooooote alikuwa anauza sura tu, mwishoni ndo anaanza kuhaha!!!
Pia jioni hii Arsenal walikuwa wakiangalia offers kutoka Besiktas na Malaga kwa ajiliya Chamakh, inawezekana akawa akienda kwenye moja ya timu hizo.
Chamakh to Malaga on loan has gone through. I think we need to bring in a striker now
Sasa povu la nini mkuu MwafrikaHalisi? Wala sikatai, ulisoma alivyoosema kuhusu usajili hata baada ya kuwasajili kina Podorsky? Kama tunakwenda kwa hoja wala hatupaswi kulumbana mkuu. In short tarehe 22/8/2012 alisema hivi "We are expecting to have two more players in the Squad before the deadline" Kwanini aseme hivyo wakati alishasajili hao "watatu"? Ukiona mtu anatumia nguvu kutetea hoja ujue uzito wa hoja yake ni mdogo!!!!!!Acha unafiki wewe. Wenger amesajili wachezaji watatu tayari mbona unasahau mapema?