MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
We badala ya kwenda kumuuguza Wine Romney unakuja kuwanga huku, hakuna mashoga kwenye timu yetu Judas kawafuata OT kwenye Manyua.
Ignore him
We badala ya kwenda kumuuguza Wine Romney unakuja kuwanga huku, hakuna mashoga kwenye timu yetu Judas kawafuata OT kwenye Manyua.
Warm welcome: The Stoke fans treated the visiting manager
to a rousing reception - and one fan ribbed the Gunners boss
over another of his stars departing for Manchester (below)
![]()
theo walcott naona kashtukia hakuna dili arsenal, tatizo lenu ni kua mnaachia wachezaji mpaka wanakua na 12months left kwenye contract zao alafu ndo mnataka negotiations wakati hata team haifanyi vizuri...Poleni lakini cha muhimu mna kazi anfield kwanza jpili...na theo anaweza kua anachezea liverpool siku hiyo
Bomu lingine hili,hawa wachezaji wanamuongezea presha Mr. Bean haiwezekani kila mtu akibakiza mwaka anagoma kuongeza mkatabaTheo Walcott rejects Arsenal deal, alerting Manchester City's interest
• Contract worth £75,000 a week turned down by representatives
• Manchester City and Liverpool interested in signing winger
- Dominic Fifield
- guardian.co.uk, Tuesday 28 August 2012 22.15 BST
![]()
Theo Walcott played in Arsenal's goalless draw at Stoke City on Sunday but has now rejected an offer of £75,000 a week. Photograph: Marc Atkins/BPI/Corbis
Manchester City are considering making a bid for Arsenal's Theo Walcott with the champions conscious his future at Arsenal is in serious doubt after discussions over a new deal broke down.
There has been no official offer from City but Roberto Mancini admires the forward with the Italian having retained an interest in Walcott throughout the summer. With Adam Johnson having departed for Sunderland and his initial replacement, Scott Sinclair, having seen his move from Swansea City to the Etihad Stadium break down, Walcott's potential availability may move Mancini to lodge a bid, although Liverpool have also been linked with the England international.
Walcott's future at Arsenal has been in the balance for some weeks. The player has entered the final 12 months of his deal at the London club but, after a period when negotiations over an extension were put on hold, his advisers reopened discussions with Arsenal last Friday and a final five-year offer worth around £75,000 a week was duly put to the winger.
However, it is understood Walcott's representatives informed the club over the weekend that they would be rejecting that proposal.
Further talks took place on Tuesday but, while Arsène Wenger is instinctively keen to retain Walcott's services, he and the club's hierarchy have now made it clear that they will look to sell the winger before Friday's deadline unless they receive a clear indication that he is ready to commit his future.
Arsenal, who have stressed to Walcott that they invested considerable faith in the winger when signing him from Southampton in 2006, would seek to raise about £15m through Walcott's sale rather than allow the 23-year-old to leave for nothing next summer, and would be willing to enter negotiations with both Liverpool and City. A move to the champions is far from outlandish. City had believed Walcott may have demanded assurances he would be a first choice starter which with the abundance of talent at Mancini's disposal would have been difficult to give. Now, with Walcott having rejected Arsenal's latest offer that dynamic has changed.
Roberto Mancini is attempting to bolster his squad with an injection of pace before Friday's cut-off – the manager said on Sunday after being held to a 2-2 draw at Liverpool that it was crucial that the club sanctioned more signings if they were to retain any hope of winning the league.
But their long-mooted move for Sinclair is currently on hold after a bid of £6.2m was rejected by Swansea City. Sinclair was omitted from the Welsh club's squad for Saturday's win over West Ham United and has informed the Swansea chairman, Huw Jenkins, that he will not be signing a new contract, yet no agreement has been reached over a fee for the 23-year-old former Chelsea winger. "We haven't actually agreed any deal with Manchester City at the moment," Jenkins said.
"I would have thought if they really wanted to sign Scott Sinclair they would have dealt with it a little bit better than they have. But that's their business. But it has dragged on too long and I hope one way or another it will be concluded in the next couple of days."
With that move apparently stalled, Mancini will consider switching targets to Walcott – a player with 28 England caps who has also interested Chelsea in the recent past – given his prospective availability. Losing Walcott would represent an untimely setback for Wenger, who has lost Robin van Persie to Manchester United already this summer and sanctioned Alex Song's departure for Barcelona.
The Frenchman stressed only last week that the winger was "very important" to the club's future, which makes Arsenal's delay in opening talks all the more baffling.
Walcott has made 222 appearances for Arsenal, scoring 42 goals, since his switch from Southampton though the suspicion remains that the London club have yet to coax real consistency from the player.
The player had indicated towards the end of last year that he wished to remain at the club and requested talks, though those formal discussions did not commence until after his participation in Euro 2012 with England.
Napenda akisepeshe huyu kijana labda ni Usain Bolt no.2 kamepewa offa ya £75000 kamegoma eti anataka £100,000 kwa week? Hii ni joke kwa kiwango gani? Very incosistent,too predictable,unskillful...tena mi sikakubali haka kajamaa...alafu hii inafanana na Luis Nani's situation pale man utd nako eti kalitaka wakapandishie toka £80,000 mpaka £100,000 fergie amemkatalia "kwa kiwango gani? Kameufyata mkia
Ondoa vitoto vinakimbia kimbia tu uwanjani...
sizitaki mbichi hizi sio? Kila player anayeondoka arsenal mnamsagia Alex song, RVP na sasa THEO hao wengine akina podolski mnawatayarishia akina man city mwakani wanawabeba alafu utamsagia pia na yeye...POOL OLD ARSENAL..Nani tumegoma kumpa contract na mbona hatishii kuondoka? tuna ashley young na valencia so hata juzi babu fergie kasema mchezaji ambae hayuko happy mlango uko wazi..mambo ya kubembelezana ya zamani...
Mkuu mbona upo hapohapo OT na unashindwa kupata habari?
Luis Nani anataka aongezwe mshahara unaofikia ule wa Wayne Rooney ambae analipwa kwenye 200000K kwa wiki, na mzee Ferguson haoni kama kuna mantiki kuzingatia kwamba Nani amekuwa inconsitent kwenye uchezaji wake.
Pia Man Utd kuwanunua Kagawa na Van Persie ndio kumemuengua kabisa Nani kiasi cha kuachwa hata katika wale wachezaji 18 waliotayarishwa kwa mechi na Fulham.
Ila Nani alicheza mechi na Fulham ambayo hakufurukuta kabisa na alicheza kwasababu tu namba 7 haikuwa na mtu kwani Valencia ilibidi acheze kama beki wa kulia.
Kwahio mazungumzo ya kurekebisha mkataba yakigota, basi Zenit St Petersburg wapo tayari kumnunua ingawa haitakuwa kwa beoi chee na anaweza kuuzwa Ijumaa usiku.
Sasa mkuu unafahamu haya?
Yule mwanariadha walcot hata mie nawaunga mkono uzilia mbali uko, si mna ashaviuno bana? Atakava nafasi yake.
Safar hii kuna kila dalil top ten ikawa historia kwenu. Yangu macho
Walcott akiuzwa poa. Namba yake apewe Chamberlain na tusajili defensive midfielder na beki wa kulia.
Sema naona tumeuza uza mpaka tunawakatisha moyo waliobaki.
Muhimu hapa kununua tu ,siku zimebaki chache na naona wakina Ben,Chamakh,park,arshavin bado wapo tu hatujawauza
Sawa sawa mkuu.Always kuna "contingency plans" bado kuna Lukas Podolski, Gervinho, Alex Oxlade-Chamberlain na Andrey Arshavin wote wanaweza kucheza namba saba. Halafu kuna dogo mmoja anitwa Serge Gnabry ambae ni mjerumani na kama Walcott atauzwa basi huyu ndie atapandishwa kuchezea firts 11.
Halafu pia tuna dogo kutoka Brazil Wellington da Silva ambae anacheza Ponferradina kule Portugal kwa mkopo pale na Ryo Miyaichi ambae yupo Bolton ambao wanaweza kuja kuziba nafasi.
Ila Chamakh ajiandae kucheza Capital One Cup.
Lol
sizitaki mbichi hizi sio? Kila player anayeondoka arsenal mnamsagia Alex song, RVP na sasa THEO hao wengine akina podolski mnawatayarishia akina man city mwakani wanawabeba alafu utamsagia pia na yeye...POOL OLD ARSENAL..Nani tumegoma kumpa contract na mbona hatishii kuondoka? tuna ashley young na valencia so hata juzi babu fergie kasema mchezaji ambae hayuko happy mlango uko wazi..mambo ya kubembelezana ya zamani...
Mkuu OXlade, umeonyesha kipaji kikubwa cha uchezaji unayo vision, huogopi kupenya defence na unauja kupiga chenga za maudhi.
Mimi nakupa support kabisa na hata kwenye timu ya England Roy Hodgson ameona hilo na sasa anapendelea OX acheze pamoja na James Milner na Ashley Young badala ya Walcott ambae hukaa benchi.
![]()
Wenger message to Theo: "Theo, one more thing you need to remember, you are not irreplaceable -you know?
Bomu lingine hili,hawa wachezaji wanamuongezea presha Mr. Bean haiwezekani kila mtu akibakiza mwaka anagoma kuongeza mkataba