1) Kama kawaida wazee wa kulialia mko busy kuplay victim card. Eti Mourihno hampendi Wenger kwa sababu ya issue ya Ashley Cole, why not the opposite?!
2) Kumbe wewe ulitaka upewe mchazji wa bure na usilipe kitu, hata mshahara wakati anachezea timu yako?! Lazima uchangie sehemu ya mshahara, tatizo mnapenda na mmezoea vya bure kupita kiasi.
3) Mbona unaongea kama vile Madridi ndio wana shida wakati ukweli ni kwamba Arsenal ndio wana shida zaidi. Hauwezi kuwalazimisha Madrid wauze wakati hawataki, wao ndio wenye mchezaji hivyo ndio wanapanga terms za biashara, kama hauwezi unaacha unaangalia kwingine sio kulialia kuwa Mourihno na Madrid wanawaonea Arsenal. Kumbuka jinsi Arsenal mnavyong'ang'ania bei ya juu mnapouza wachezaji wenu kwa timu nyingine, sasa leo mnapangiwa bei nyie mnaona kama mnaonewa sana....WANAFIKI.
Mkuu Richard punguza kulia na kujifanya victim kila wakati. Reasoning yako hapo mwisho (3) kwanmba kuna haters wanawafanyia roho mbaya inapingana kabisa na sababu ulizosema hapo juu kwamba agent wa Sahin ndio alikuwa na influence kwenye kufanya decision. Nashangaa sana inakuwa vipi mtu unaweza kuandika vitu viwili vinavyopingana kwenye same issue?
Are you sure Sahin is enforcer?!
Habari za kutunga utazijua tu! Sasa hapa mwongo nani kati yenu ninyi gunners wawili? Wa kwanza, Viper anasema Madrid wanataka Arsenal walipe 70% ya mshahara wake wa 120K per week, ambayo ni 84K, pesa ambayo Arsenal hawezi kulipa kamwe!. Wa pili, Richard anasema Arsenal walikuwa tayari kulipa 115K per week, almost the whole salary! Lazima hapa kuna mmoja wenu ni MWONGO! Please, you guys need to come clean.
HAHAHAHA! PUNGUZA STRESS! HEBU TUJIKUMBUSHE KIDOGO
ALAFU SEMA TUKUPIGE NGAPI MSIMU HUU ULI UKIMBIE TENA HILI JUKWAA!!
Kwa kifupi ni kuwa gharama (jumla ya mshahara na ada ya mkopo) za kumchumkua Sahin kwa mkopo ilikua inafikia paundi mil. 10. Wenger akasema tabu ya nini, tutawapa paundi mil. 14 tumnunue jumla kwa kuwa gharama za mwanzo ni kubwa mno kwa mchezaji kuja kwa mkopo na kuondoka baada ya mwaka. Hapo ndipo Liverpool walipotokea na kuongeza dau baada ya Arsenal na Madrid kutokubaliana. Ukiangalia Liverpool watalipa karibu paundi mil 14 jumla ya mshahara na ada ya mkopo kiasi ambacho kinatosha kukupatia kiungo mkabaji mwingine sokoni. So guys, come back to sense.. Around 14 mil. pounds for a LOAN DEAL with no BUY-OUT CLAUSE is a joke. Liverpool does not seem to have sense when it comes to value for money (RE: Henderson, Downing, Carrol, Adams)
Acha kukimbia debate kwa kujifanya chizi. Jibu swali kwanza, hiyo 70% ya mshahara wa Sahin umeitoa wapi? Naanza kuamini kwamba wewe ndio MWONGO kati yako wewe na Richard, na hii sio mara yako ya kwanza kuja na "vidata" vyako vya kupika. Bila kunihakikishia kwamba hayo madai yako yana chembe ya ukweli ndani yake, nitaendelea kuamini kwamba wewe ni mzushi ambaye hana jipya....a.k.a MZEE WA KULIALIA II.
NuriSahin is expected to complete a season-long loan move to Liverpool on Friday after Arsenal pulled out of the running for Real Madrid's Turkey midfielder, 23. Arsenal felt they made a significant breakthrough on Tuesday and looked set to complete a deal. However, it is understood they were not prepared to match Liverpool's offer to pay 70 per cent of his wages of £120,000 a week.
wewe mimi sikurupuki nimeitoa DM sijakujibu sababu ligi za kijinga sifagilii we umekuja hapa kubishana while sisi tupo hapa kujadili timu yetu! ndio maana sikukujibu sasa kabishane na daily mail acha sisi tuendelee kujadili gunerz!..
link hii hapa Liverpool close in on loan capture of Nuri Sahin after Arsenal drop their interest | Mail Online
happy now! ??
Habari za kutunga utazijua tu! Sasa hapa mwongo nani kati yenu ninyi gunners wawili? Wa kwanza, Viper anasema Madrid wanataka Arsenal walipe 70% ya mshahara wake wa 120K per week, ambayo ni 84K, pesa ambayo Arsenal hawezi kulipa kamwe!. Wa pili, Richard anasema Arsenal walikuwa tayari kulipa 115K per week, almost the whole salary! Lazima hapa kuna mmoja wenu ni MWONGO! Please, you guys need to come clean.
Tumeshaongea na Mr. Bean anatuandalia kijana mwingine Chamberlein atatua OT 2016,ngoja aendelee kumtengeneza kwanza
Mmeona vitu vya RVP jana :biggrin1: mtamiss sana magoli yake vijana leo stoke hamtoki
pale
Yaani mpaka liverpool wanawapiku na kumyakua sahin frm madrid:happy: poleni
Nimepata habari Vito Manonne anaanza golini leo. Szczesny hayuko fit na Fabianski nae. Ila Fabianski atakua benchi. Giroud may start upfront. COYG
starting 11 imekaaje mkuu! ? ushapata list