mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
Hata mimi kuna kipindi nilipoteza kabisa imani na AW....Lakini baadae nilikuja kugundua kwamba simtendei haki AW....Tatizo sio AW,tatizo ni bodi ya Arsenal.....Tatizo ni mfumo wa ulipaji mishahara uliopo Arsenal.....Wachezaji wengi wanaondoka Arsenal kwa sababu ya mishahara duni ukilinganisha na timu nyingine.......Bodi ya Arsenal inapaswa kubadilika na kubadili mfumo wa ulipaji mishahara,tofauti na hapo Arsenal itaendelea kuwa feeder club kila mwaka......Kazi yetu itakuwa ni kutengeneza wachezaji na kuwajengea umaarufu na kuwauza hivyo habari ya vikombe itabidi tusahau......
AW hapaswi kulalamikiwa katika hili la wachezaji kuondoka,anapaswa kuonewa tu huruma......Wa kulalamikiwa ni board wa Arsenal........
Najivunia kuwa Mshika Bunduki.........
Once a Gunner, always a Gunner......
Gunners for life...................No matter what.....
Wakuu pia nimetafuta chanzo cha kuaminika kuelezea ni timu ipi tajiri duniani kwa mwaka huu wa 2012.
Jarida la Forbes limeorodhesha timu 20 duniani ambazo ni tajiri na zina mapato yanayoeleweka.
Rankings as of 19 April 2012.
[TABLE="class: sortable wikitable jquery-tablesorter"]
[TR]
[TH="class: headerSort"]Rank[/TH]
[TH="class: headerSort"]Team[/TH]
[TH="class: headerSort"]Country[/TH]
[TH="class: headerSort"]Value ($M)[/TH]
[TH="class: headerSort"]% change
on year[/TH]
[TH="class: headerSort"]Revenue ($M)[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]1[/TD]
[TD]Manchester United[/TD]
[TD]England[/TD]
[TD]2,235[/TD]
[TD]20[/TD]
[TD]532[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2[/TD]
[TD]Real Madrid[/TD]
[TD]Spain[/TD]
[TD]1,877[/TD]
[TD]29[/TD]
[TD]695[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3[/TD]
[TD]Barcelona[/TD]
[TD]Spain[/TD]
[TD]1,307[/TD]
[TD]34[/TD]
[TD]653[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]4[/TD]
[TD]Arsenal[/TD]
[TD]England[/TD]
[TD]1,292[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]364[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]5[/TD]
[TD]Bayern Munich[/TD]
[TD]Germany[/TD]
[TD]1,235[/TD]
[TD]18[/TD]
[TD]466[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]6[/TD]
[TD]Milan[/TD]
[TD]Italy[/TD]
[TD]989[/TD]
[TD]18[/TD]
[TD]341[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7[/TD]
[TD]Chelsea[/TD]
[TD]England[/TD]
[TD]761[/TD]
[TD]16[/TD]
[TD]362[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]8[/TD]
[TD]Liverpool[/TD]
[TD]England[/TD]
[TD]619[/TD]
[TD]12[/TD]
[TD]295[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]9[/TD]
[TD]Juventus[/TD]
[TD]Italy[/TD]
[TD]591[/TD]
[TD]-8[/TD]
[TD]223[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10[/TD]
[TD]Schalke 04[/TD]
[TD]Germany[/TD]
[TD]587[/TD]
[TD]56[/TD]
[TD]293[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]11[/TD]
[TD]Tottenham Hotspur[/TD]
[TD]England[/TD]
[TD]564[/TD]
[TD]37[/TD]
[TD]262[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]12[/TD]
[TD]Internazionale[/TD]
[TD]Italy[/TD]
[TD]490[/TD]
[TD]11[/TD]
[TD]307[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]13[/TD]
[TD]Manchester City[/TD]
[TD]England[/TD]
[TD]443[/TD]
[TD]52[/TD]
[TD]246[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]14[/TD]
[TD]Borussia Dortmund[/TD]
[TD]Germany[/TD]
[TD]394[/TD]
[TD]52[/TD]
[TD]197[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]15[/TD]
[TD]Lyon[/TD]
[TD]France[/TD]
[TD]385[/TD]
[TD]8[/TD]
[TD]193[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]16[/TD]
[TD]Hamburg[/TD]
[TD]Germany[/TD]
[TD]355[/TD]
[TD]4[/TD]
[TD]187[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]17[/TD]
[TD]Roma[/TD]
[TD]Italy[/TD]
[TD]354[/TD]
[TD]38[/TD]
[TD]208[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]18[/TD]
[TD]Marseille[/TD]
[TD]France[/TD]
[TD]349[/TD]
[TD]26[/TD]
[TD]218[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]19[/TD]
[TD]Valencia[/TD]
[TD]Spain[/TD]
[TD]288[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]186[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20[/TD]
[TD]Napoli[/TD]
[TD]Italy[/TD]
[TD]283[/TD]
[TD]-[/TD]
[TD]167[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwahio kwa kutokana na vigezo vilivyotumika kuangalia ni nani ana pesa utaona kwamba kwa Uingereza ni Man Utd na Arsenal na baada ya hao wawili wanafuata hao wengine.
Vigezo hivyo ni thamani ya timu na mapato yake na ndio utaona kwamba Man Utd ana uwanja unaoingiza watu 75,000 na Arsenal pale Emirates wanaingiza watu 60,000 - na unajaa.
@ gunners
Once a feeder club......Always a feeder club (Peasant wa JF)
Arsenal agree terms with Barcelona for Song
Arsenal Football Club can confirm that terms have been agreed for the transfer of Alex Song to Barcelona.
Song will now travel to the Catalan club to agree personal terms and undergo a medical ahead of the proposed move.
Further updates will feature on Arsenal.com.
Arsenal agree terms with Barcelona for Song | News Archive | News | Arsenal.com
Umeongea kila kitu mkuu wangu kuongeza vile vle team kama Arsenal ni team kubwa sana, kama United na City so kupoteza wachezaji kila siku me naona ni kutokana na kocha mwenyewe, sasa mwaka huu Vermalen akicheza vizuri mwakani utaona anachukuliwa na City au United yaani sijui huyu mzee huwa anawaaza nini maana hapa UK ni yeye ndio anaongoza kwa kutoa ma star wake alafu hela inapoenda haijulikani......
I see........We nawe unaongea pumba :biggrin1: wenger anataka players wawe wanalipwa hela sawa.. Ili wasilalamike.. Why? Kuna wachezaji mbuzi arsenal wangeuzwa kusanya hela mnaleta gd players.. Tatizo arsenal sio bodi ni wenger amechoka ki akili na ki mwili hata legends wa arsenal wanasema hiyo.. Ideas zake hazifanyi kazi tena.. Fergie nachompendea ni mzee lkn anajua kubadilisha mfumo kutokana na jinsi maisha yanavobadilika wenger hawezi. Ninawaonea huruma my gooners friends mwaka huu kazi mnayo.. I would b so worried if i were you.
Belo uko serious?......Sijaona tofauti ya Olivier Giroud na Maruane Chamakh,hasa ma-striker wakija premier league sijui kwa nini wanachemsha.Cazorla ni mchezaji mzuri sana ,kuondoka kwa RVP sio pengo kuliko kuondoka kwa Song ,nashangaa kwa nini Mr. Bean kamuachia kirahisi hivyo.Ngoja tusubiri wacheza Rugby(Stoke)
Ya Ngoswe.........................................Kama unasoma posts zangu utajua nilisema kua man u are the most profitable club in the world na sio tu coz of 75000 fans wanaoingia old trafford every wk bt shirt sales worldwide sponsors ka DHL na wengineo.. Bt winning trophies helps alot wenger hajashinda kombe since 2005 alafu bado mna over price match tickets why?
Ooooh boy!.........Give us a break.......Hivi why did podolski move to arsenal wakati every player wants out? Next year itakua walcott hawezi sign a new contract pale arsenal
Dah, mkuu tatizo la timu yetu hii ni yale yale ya "the operation was successful but the patient died" tunacheza vizuri sana lakini tunaishia ubutu tu. Kama itaendelea hivi basi hakutakuwa na jipya zaidi ya ambayo yamekuwa yakitutokea baada ya 2004. All in all, I wish Wenger would be out and sucked!I think the game had more positives than negatives. The defence worked hard. Miedfield did a good job also. More sharpness in the attack and we are good. That will come eventually as the season unfolds. COYG
mtotowamjini hivi umeangalia match ..??? mbona kelele hivo tumefungwa ngapi..? match ngapi RVP anakuwepo na tunatoa draw .. mlipotufunga 8 RVP.. SONG walikuwa hawapo kwani..? punguza pumba broda kwenye thread yetu! Arsenal hatotoshinda kila game msimu huu.. draw ni part of the game...
Ooooh boy!.........Give us a break.......
Ni kwa nini kila kitu cha Arsenal unakiona kibaya?.....Hivi ni lazima upost ama kuquote post yoyote inayozungumzia Arsenal.....Ni kwa nini usiutumie muda wako wa thamani kwenda kwenye Jukwaa la Man Utd na kujadili mechi yenu ya kesho na Everton ama kujadili mambo yanayohusiana na klabu yenu?....Maana inafika kipindi mpaka unaboa yaani,wewe kila wakati na Arsenal tu......Unakera......
Dah, mkuu tatizo la timu yetu hii ni yale yale ya "the operation was successful but the patient died" tunacheza vizuri sana lakini tunaishia ubutu tu. Kama itaendelea hivi basi hakutakuwa na jipya zaidi ya ambayo yamekuwa yakitutokea baada ya 2004. All in all, I wish Wenger would be out and sucked!
Belo uko serious?......
Yaani unampima Giroud na mechi moja ya jana tena na Sunderland ambao siku zote game yao ni kudefend kiasi cha kumfananisha na Chamakh?........
Song kalilia mwenyewe kwenda Barca na board ya Arsenal kwa jinsi ilivyo na uchu wa fedha ikaamua kumuuza kwa pauni milioni 15......
Huwa najiuliza ni kwa nini watu wanaifuatilia/izungumzia sana Arsenal kiasi hata cha kusahau mechi za timu zao wanazoshabikia na badala yake wanaangalia mechi zinazofuata za Arsenal na kuangalia nini rsenal watafanya katika mechi hizo?......Yaani ukiangalia humu JF thread ya Arsenal ndo inaongoza kwa kuwa na page na post nyingi(kuna page karibu 1040 na post zaidi ya 21000) ilhali thread za vilabu nyingine zinasuasua.......Inashangaza kweli.....
:biggrin1: nashukuru umesema wewe, ningesema mimi ningefukuzwa humu ndani.