Angalau ametoa mwanya kwa Arsenal kukubali deal lolote kwenye kiasi cha £15 milioni au zaidi, badala ya kumwachia amalize mkataba wake mwakani na wasipate kitu.
Ila kwa asimilia 100 Arsenal hawatapenda kumuuza kwa timu yoyote kwenye PL
Naona hapa wanataka kuchanganya habari.
Gunners expect RVP commitment | Arsenal News, Fixtures, Results, Transfers | Sky Sports
Mie sijali kama ataenda kwenye timu ya PL au wapi, mwenye dau kubwa auziwe tu.
Namtakia kila la kheri anapokwenda na nashukuru mchango wake.
Umri unakimbia na ni muhimu akatafute kombe sehemu nyingine kama anaona Arsenal hakuna mafanikio yoyote.
Mpira kama shule, bila kupata shahada inakuwa haina maana. Kwa mchezaji kama Van Persie bila kupata kombe huku umri unakwenda sio vizuri. Naheshimu maamuzi yako Van Persie na nakutakia kila la kheri.
sour grapes..Van Persie turns to be Van PESA.
lol @ goners, the new looserful in making..
arsenal are now a selling club, cant keep hold of their best players. Wenger is a stubborn man believes in youth and i dont see arsenal winning anything for years to come
blind following..Things that we hear every summer, yet... you know how we do!
.....nenda kwa amani Van Persie, thx for the great service. Fans kibao wamehamia 'kimya kimya' Man City ......itakuwa wachezaji bana? 😀
Sie die-hards mmetukuta na mtatuacha hapa hapa kwa washika bunduki. Msimu ujao sijui utamkalia sawa majeruhi gani nae atoke kivipi msimu utakao kuja..
Together We Stand!