Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hizi mechi mbili za mwisho nilishapanga sitaziangalia manake hawa jamaa muda unaowategemea basi watakuangusha hasa AW. Nitaendelea kufuatilia matokeo kupitia hapa hapa!
 
Hapa goli lingine. Muhimu sana kuhakikisha ushindi.

Mabadiliko kidogo tu yanaleta matunda, lakini Wenger hua anaogopa kuyafanya.
 
WOW!....I am so happy to see their determination to win this game.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom