MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
....Arteta out for the rest of the season, ankle ligament....Wilshere na Diaby ni 'option' ilobakia baada ya Frimpong naye kuwa ruled out mpaka msimu ujao. Ramsey atatusaidiaje?
Yossi Benayoum is loan-tied game na Chelski, hapo ndipo Gaffer wetu unakuta anamchezesha The Ox kwenye midfield...
In Arsene I trust, top four is a must!
.....statistics zinasema Arsenal haijawahi shinda msimu huu bila
Arteta kikosini....
In Arsene Wenger I Trust,
Van Persie needs to rediscover his
Goalscoring spree bana.....
Za uongo hizo. Champions league tuli'qualify vipi? I mean ilibidi tupite knock out stage and we did it without him!
gooners.... !! vipi leo tutatoka!!
Midfield imepwaya sana. We need someone aggressive. Diaby suits
......Diaby mzuri (kwa siku zake)....bora jini likujualo (Ramsey)....maana Diaby aki bore ana bore hasa,....kuliko Ramsey. Hapa Gervinho ndio atatufaa...
In Arsene Wenger I Trust, he knows better....
Chelsea leo bila Drogba 'wamepwaya' kidogo...
Ramsey yupo toka mwanzo!!Kama Ramsey akiingia 2nd Half then ntajua AW ana agenda ya siri..... He is so POOR.....
Naona Walcot anatoka...kaumia. Gervinho anaingia!!