Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukweli ni kwamba Arsenal tu wavivu sana wa kujaribu katika shooting...

Tunapata nafasi nyingi za kujaribu kwa mbali lakini hatuztumii...
 
safi sana arsenal!tukichukua kombe tutalileta emirates likae wiki moja mtoe gundu!tutamkabidhi arteta!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom