Ramsy ni kenge kweli!
safi sana arsenal!tukichukua kombe tutalileta emirates likae wiki moja mtoe gundu!tutamkabidhi arteta!
Aibu nyingi ziwafikie Samir Nasri na Gael Clichy....
Aibu nyingi ziwafikie Samir Nasri na Gael Clichy....
Na hii ni fundisho kuwa unaweza kuwa na wachezaji bora 11 lakini usiwe na timu bora . MAnchester city wataishia kulipa salary slip kubwa tuMan city hawatakaa kuchukua ubingwa miaka ya hv karibuni.
Aibu nyingi ziwafikie Samir Nasri na Gael Clichy....
Wanga hao safari imewadia, wanga hao safari imewadia, wanga hao safari imewadia
Hasa samir Nasri