Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Beanyoun atoke tu.....
Beanyoun atoke tu.....
arsenal mbona kama hawako serious?au wenyeji mnaonaje?
Dah!!!....van pussie nini tena hapa?
Tatizo kakariri kufanya sub dakika ya 70 ama 75..Wenger naona anataka tufungwe kwanza ndio amlete Ox.