Madongo yanafanya kazi sana, sio kudonyoa donyoa tu
Sasa tutulize akili
Refa kambeba sana Balotelli leo...
Pamoja sana kiongozi...Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...very useful...Nisamehe Balantanda.
Bingwa mwaka huu ni Man Utd...Sasa City waanze kusahau Ubingwa!
Arsenal wameua City, Shalo Ballo nje. Mancin kibarua nyasi.
Arsenal bana kende tevez anapiga..
Bingwa mwaka huu ni Man Utd...
Hawa City hata nafasi ya 2 tunaweza kuwapoka....