....together we stand.....
Kinacho matter ni tutavyo bounce back,
IMO, Ramsey kama Chamakh waendelee kubaki Reserve mpaka mwisho
wa msimu....hasa Ramsey, anatuharibia tempo...
QPR was a game to win, sio ku lose au draw lakini ndio hivyo tena,
labda Gaffer alidhani anaweza jaribu experiments hapo...imetu cost!!!
Anyway....daima mbele..
....mnh, next game tuna Everton "away" tukiivuka hiyo mambo mswano...
missing WACHA1 hapa...
Together We Stand!
Wakuu inakuwaje our Gooners Foot solder ! ( wacha ) kapigwa ban! :thinking: kuna ma mod wanachuki binafsi na gooners nini..?
Mnipigie Man Shitty next match na naahidi kuhamia chama lenu moja kwa moja:wink2:
kutokana na muonekano ulivyo na mazoea aseno ka fungwa kwa hiyo na sie tutamfunga ila kwa taabu sana..
Welcome back Wacha aka Mzee wa kulialia,tunakuomba upunguze hayo matusiWacha fitna wewe unakodolea 20th win utaipata ukikomaa lakini huwezi kuhama wewe rafiki zako si mashoga khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini hamna timu timueni vile vizee hata Ijumaa chijui Alhamisi sikuwaona kwenye europa cup imekuwaje?
Welcome back Wacha aka Mzee wa kulialia,tunakuomba upunguze hayo matusi
Welcome back Wacha aka Mzee wa kulialia,tunakuomba upunguze hayo matusi
Mkuu za masiku ... .. .
Usijali Jack will be back soon, complacency costed us after a 7 match run .... ..... but on the other note its a big antidote to put the Mancs where they belong ... .... .....
BTW si uliona wenye Wivu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Welcome back kiongozi, wembe ule ule....
EEE bana eh hivi huyu Mike Dean mbona analilia sana mechi za Arsenal ..... ...... kapewa donge nono sana huyu nuksi tupu.
Wakulu heshima mbele.
Hili game Arsenal wamepoteza bure kwani hakukuwa na haja ya mzee Wenger kuanza na Ramsey wakati Gervinho angeweza kuanza. Hii ndio tunaita compacency- yaani unaporidhirika na hali uliyo nayo na kusahau kwamba kuna timu kama hizi zinazopigania kutoshuka daraja.
Tungeshinda mechi ya jana na kama tukiwafunga Man City Jumapili ijayo tungeweza kuelekea kushika nafasi ya pili.
QPR walikuwa more defensive kwa kucheza mtindo wa 4-5-1 ambao uliwawezesha wachezaji wao Joe Burton, Samba Diakite, Antony Ferdinand, Kamie Mackie na Adel Taarabt wote kumalba kadi za njano kwa kucheza rafu. Arsenal walitumia mtindo wa 4-2-3-1 ambao ulimwacha RVP aliranda eneo la 18.
Sasa kuna Man City (Home), Wolves (Away), Wigan (Home), Chelsea (Home), Stoke (Away), Norwich (Home) na West Brom Albion (Away).
Mechi za Man City tunaweza kushinda au kutoa sare, na zile zote za nyumbani tunaweza kushinda ila na Wolves na WBA kuna utata kwani tutakuwa ugenini.
Arsenal wakamilisha usajili wa mshambuliaji Lukas Podolski.
Club ya Arsenal imekamilisha usajili wa mchezaji mashambuliaji wa kimataifa wa Ujerumani Lucas Podolski, ambao umegharimu kiasi cha £11 milioni. Mchezaji huyo bado yupo Ujerumani lakini pindi msimu wa ligi utakapoisha atakuwa mjini London kukamilisha taratibu zote.
Mkataba kamili unasemwa kuwa ni paundi milioni 5 kwa mwaka ambazo ni sawa na paundo 80,000 kwa wiki.
Lucas Podolski akiwa kazini.
Baada ya hapo kama nilivyowahi kusema huko nyuma Arsene Wenger ambae amesema wazi kwamba safari hii hatachelewa kufanya usajili, ataelekeza macho yake kwa Yann M'Vila mchezaji kiungo wa Rennes ya Ufaransa ambae atagharimu kiasi cha £15 milioni.
Yann M'Vila (kulia) akiwa kazini.
M'Vila ambae ana miaka 21 atakuwa asset kubwa kwa kumsaidia Alex Song ambae kuna wakati huonekana kuchoka na kuhitaji msaada ambao haupo kwenye eno la kiungo unganishi au "holding midfield" kazi ambayo imewashinda Abu Diaby na Francis Cquelin ambao bado hawajawa na uzoefu wa kutosha.
Arsene Wenger pia amepanga kuwaondoa wachezaji wote wasio na tija wakati wa summer kama Chamakh ambae anatakiwa na Juventus, Andrey Asharvin ambae timu alioko kwa sasa ya Zenit St Petersburg inataka kufanya usajili wake uwe wa kudumu.
Pia Carlos Vela usajili wake na Real Sociadad utafanywa kuwa wa kudumu ingawa ameonekana kufanya vizuri kwenye ligi ya La Liga pamoja na ule wa Denilson Pereira Neves kule Sao Paulo Brazil na Nicklas Bendtner ambae yupo Sundeland.
Wachezaji wengine ambao ni kama hawapo na hata wakicheza huweza kuleta majanga na wapo kwenye sell list ni pamoja na Sebastian Squillaci, Johan Djourou
Arsenal wakamilisha usajili wa mshambuliaji Lukas Podolski.
Club ya Arsenal imekamilisha usajili wa mchezaji mshambuliaji wa kimataifa wa Ujerumani Lucas Podolski, ambao umegharimu kiasi cha £11 milioni. Mchezaji huyo bado yupo Ujerumani lakini pindi msimu wa ligi utakapoisha atakuwa mjini London kukamilisha taratibu zote.
Mkataba kamili unasemwa kuwa ni paundi milioni 5 kwa mwaka ambazo ni sawa na paundo 80,000 kwa wiki.
Lucas Podolski akiwa kazini.
Baada ya hapo kama nilivyowahi kusema huko nyuma Arsene Wenger ambae amesema wazi kwamba safari hii hatachelewa kufanya usajili, ataelekeza macho yake kwa Yann M'Vila mchezaji kiungo wa Rennes ya Ufaransa ambae atagharimu kiasi cha £15 milioni.
Yann M'Vila (kulia) akiwa kazini.
M'Vila ambae ana miaka 21 atakuwa asset kubwa kwa kumsaidia Alex Song ambae kuna wakati huonekana kuchoka na kuhitaji msaada ambao haupo kwenye eno la kiungo unganishi au "holding midfield" kazi ambayo imewashinda Abu Diaby na Francis Cquelin ambao bado hawajawa na uzoefu wa kutosha.
Arsene Wenger pia amepanga kuwaondoa wachezaji wote wasio na tija wakati wa summer kama Chamakh ambae anatakiwa na Juventus, Andrey Asharvin ambae timu alioko kwa sasa ya Zenit St Petersburg inataka kufanya usajili wake uwe wa kudumu.
Pia Carlos Vela usajili wake na Real Sociadad utafanywa kuwa wa kudumu ingawa ameonekana kufanya vizuri kwenye ligi ya La Liga pamoja na ule wa Denilson Pereira Neves kule Sao Paulo Brazil na Nicklas Bendtner ambae yupo Sundeland.
Wachezaji wengine ambao ni kama hawapo na hata wakicheza huweza kuleta majanga na wapo kwenye sell list ni pamoja na Sebastian Squillaci, Johan Djourou Lucas Fabianski na Manuel Almunia.
mkuu ni habari njema lakini kutokana na tarehe ya leo .... sitozitilia maanani mpaka kesho ... mungu akipenda
pole sana mkuu ila qpr ni wakali sana..