Arsenal (The Gunners) | Special Thread

We’re on the brink of the biggest transfer in football history.

That’s because Paris Saint-Germain are closing in on the signing Neymar for a crazy £199 million.
This tells me modern football has got no respect if club has got poor invasion of Chedda
 
349c5ac2b6db4607773830b6c1fef054.jpg

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Utani wa ngumi huu!
 
PSG wanataka kutoa ofa ya pauni mil 40 kwa ajili ya kumsajili Alexis Sanchez,wakati huo huo Pep Guadiola amesisitiza hana mpango wa kumsajili Sanchez sababu anaye aguero na Gabriel Jesus
 
190e39539286734fe1b3ef7a52717447.jpg

Looks like drama ya Sanchez inaendelea anatakiwa aripoti mazoezini jamaa kashasema anaumwa inawezekana ni kweli au anaendeleza zengwe lake.
 
*ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE:*

Inasemekana kuwa ugomvi wa Neymar Jr na Semedo ulianza pale Semedo alipomwambia Neymar kuwa Arsenal wanaandaa Ofa nono kwa ajili yake.

Aisee hata mm ningepigana....!!

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
190e39539286734fe1b3ef7a52717447.jpg

Looks like drama ya Sanchez inaendelea anatakiwa aripoti mazoezini jamaa kashasema anaumwa inawezekana ni kweli au anaendeleza zengwe lake.
Inasemekana yeye hataki kurudi arsenal, wakala wake anataka aje arsenal amalizie mkataba wake next season awe free agent atengeneze mahela
 
*ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE:*

Inasemekana kuwa ugomvi wa Neymar Jr na Semedo ulianza pale Semedo alipomwambia Neymar kuwa Arsenal wanaandaa Ofa nono kwa ajili yake.

Aisee hata mm ningepigana....!!

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app

Inasemekana yeye hataki kurudi arsenal, wakala wake anataka aje arsenal amalizie mkataba wake next season awe free agent atengeneze mahela

Sanchez anatakiwa atafute njia nzuri ya ku-handle situationa yake tofauti na hapo AW akimkazia amalize mkataba wake atakua na msimu wa mateso na mgumu sana nadhani.
 
Back
Top Bottom