Arsenal (The Gunners) | Special Thread

5c5890c43fc78d51c5b7c2cf5a31a318.jpg

Draw ya FA ndio hii hapa,incase kesho tukitoboa tunakutana na Lincoln City.
COYG...
 
bb3bd0ccd3dc6d73bdef8bea3e81f724.jpg

Line up ya leo,AW leo kaonyesha yuko serious angalau kwenye FA kama tukipigwa lawama kwa wachezaji ila babu kamaliza kazi yake.
COYG....
 
FT
Sutton 0-2 Arsenal
That's all from Gander green(South London)na rasmi tumesogea robo fainali na next game kwa FA tunawakaribisha Lincoln City pale Emirates natumaini tutacheza semi final.
 
Back
Top Bottom