McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Draw ya FA ndio hii hapa,incase kesho tukitoboa tunakutana na Lincoln City.
COYG...






Ndio maana anaweza kucheza katikati.Granit Xhaka yuko na mahaba na kadi aiseee anatembea na njano tayari...![]()