Nchimbi hawezi kuwa Rais wa kuchaguliwa, unless kitokeee kitu kingine.Yaani nyie kila siku ni chokochoko TU..mkitoka huku mnahamia kule mnarudi huku ilimradi nchi isitàwalike..nchimbi ni msaidizi wa mama mpaka 2030 then nae ataanza 2030 mpaka 2040
Nchimbi hawezi kuwa Rais wa kuchaguliwa, unless kitokeee kitu kingine.
Unaweza kuwa sahihi! Ila waanzilishi wa mtandao ni pamoja na yeye akiwa loyalist wa nzee ya nsoga, akiwa chairman wa UVCCM. Nsoga aanze, afuate mamvi, akamilishe imma. Mungu nifundishe kukaa kimyaNchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Kwani Nchimbi mwenyewe hana akilizake za kufikiri? Atakubali vipi kulinajisi taifa hili hadi kufikia hatua hii bila ya yeye mwenyewe kujuwa anacho fanya.Nchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Uko sahihi mkuuMtu wao labda wakengeuke maana Sele kuwepo geti kubwa juhudi zake maana alifanya nae kazi Sharubu akiwa balozi Brazil
Asante mkuuUko sahihi mkuu
Hapana. Usikae kimya huko kutakufanya mshiriki wa uovu juu ya taifa lako na waTanzania wenzako.Unaweza kuwa sahihi! Ila waanzilishi wa mtandao ni pamoja na yeye akiwa loyalist wa nzee ya nsoga, akiwa chairman wa UVCCM. Nsoga aanze, afuate mamvi, akamilishe imma. Mungu nifundishe kukaa kimya
He is the man who will be running the show!.Nchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
TUmalize na slowslow chitori ingine zoote ichubiri,tutaikutamoooNchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Watauwa wangapi. Ndo kusema wameapa kuwamaliza wagalatia popote walipo ?????? !!!!!!!Ni kweli. Wanamtandao wanasema huyu Nchimbi siyo mtu wao, kawekewa na kamati kuu. Hivyo watamtumia Nchimbi ili kumvusha mama kwenye hili sekeseke la uchaguzi tu, baada ya hapo....
Nitakwambia kwa nini Nchimbi hana lolote la kuogopa toka kwa wanamtandao wenzake.Hata zile rumours zilizopita hapo katikati kabla ya kuchukua fomu kuwa Nchimbi anataka kumpindua mama, wanamtandao wamezitunza rohoni. Watamjibu kwa namna ya tofauti sana.
Hapana. Ni kuwatafuta tu wanao endana na mahitaji yao; mbona wapo wengi tu!Watauwa wangapi. Ndo kusema wameapa kuwamaliza wagalatia popote walipo ?????? !!!!!!!
Inakuwa rahisi kuli'frame' kama ulivyo fanya hapa; ambayo imekuwa ni 'tragedy' ya taifa letu sasa hivi.it makes sense, ukichukulia ni Christian, id be careful kama ningekuwa yeye ...
Wanachotetea ni haki au ????Hapana. Ni kuwatafuta tu wanao endana na mahitaji yao; mbona wapo wengi tu!
Kuua ni pale inapolazimu; mhusika akionekana kuwa na msimamo hasi dhidi ya kundi na maslahi yao..
Ina maana wwewe unamsoma tofauti kabisa Nchimbi, kuliko wanavyo msoma hao wanaomtumia sasa hivi?Nchimbi anawinda Urais kwani katiba ya Tanzania itampa Urais pindi Utabiri wa Sheikh Yahya ukitimia mama kuwekwa Bench yeye kuwa Rais ndipo kesi nyingi mfululizo za ufisadi zitafunguliwa ili kuisafisha ccm, watu wengi watafungwa Nchimbi akiwa Rais
"HAKI"?Wanachotetea ni haki au ????