Aren't: Nchimbi be careful

Nchimbi anawinda Urais kwani katiba ya Tanzania itampa Urais pindi Utabiri wa Sheikh Yahya ukitimia mama kuwekwa Bench yeye kuwa Rais ndipo kesi nyingi mfululizo za ufisadi zitafunguliwa ili kuisafisha ccm, watu wengi watafungwa Nchimbi akiwa Rais
 
ccm ya lowasa ya akina Sofia simba iliumizwa na ccm ya kikwete aliyekuwa Adui wa lowasa yale makovu Nchimbi anayo na pia kikwete huwa hamwamini wakiona atawafunga wanaweza fanya lolote kwani hawashindwi kwa nguvu zao ingawa Rostam kawaweka mifukoni mwake wote
 
Hii inadhihirisha wazi wabongo ni mataahira zaidi ya maiti!!
 
Huyu mwizi mkubwa ana faida Gani. Hata wakishindwa hao Mungu aingilie kati kwa huyu
 
shida yangu mimi ni matumizi ya Aren't maana yake nini? elimu haina mwisho
 
Ni kweli ni mwenzao, ila Hata wao wenyewe wamegawana, umesahahu enzi zile Bashe ana mbagaza nchimbi?

Katika watu walio umia Lowassa kubagazwa number Moja ni Nchimbi.
 
Kama hamjui huyo jamaa n mwana wa Wanamtandao ndio anaandaliwa kama itatokea bahati mbaya basi yeye ndie aje kuwa kifupi Wanamtandao wanaongoza 5-0 mpaka Sasa hv sub uliopo nje ni Moja tuu na inaweza kufanya comeback ya maana ni wewe tuu mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…