MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
- Thread starter
- #21
FL1 hebu tukitetee mydia hawa wanatake advantage ya umasculinity wao je na sie tutake advantage ya utender wetu?..... tuwe na affairs kwa kisingizio cha kumiss something in our marriages? ...... Off course we are missing a lot kwa kweli (watafulfill saa ngapi wakati wako buzy kuinfidelate?) lakini cha ajabu akikukamata unacheat hakuna msanaha..... this isnt fair kwa kweli bros.Nilijua wapo wenzio wanakuja kukupa suport
me ngoja nione mnavyoflow kwanza