Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

<br />
<br />
ishu ni hivi..aliens wapo ktk sayari inayopita katika solar system yetu kwa kipindi fulani cha miaka.. Toka walipokuja ilikuwa kipindi cha pharaoh na watakuja tena miaka ijayo, na sayari yao imeanza kuonekana kwa satelite kwa mbali.

sayari gani hiyo iliyotambuliwa kaka?
 
Mimi nakumbuka miaka ya 90's, kuna gazeti moja la bongo liliongelea habari za hawa Alliens, wanasema wanazungumza kwa mtindo wa kinyumenyume, mfano ukisema "Baba analima shambani" wao Alliens watasema "Shambani analima baba", i got something like this during that time kupitia hilo gazeti.

Mi naafiki kwamba wana uwezo kupita sisi kwa masuala ya maarifa na mengineyo.

Swali: Yale great wall huko China walijenga Alliens?
 
kupekua pekua kwangu kwa haka kamada kumenijulisha hawa tunawaita aliens nazani walikuwa hapa tokea kitambo kabla yetu na hawajaondoka na mara kwa mara wanatokeaga sehemu sehemu na nazani kunamaserikali dunia hii wanawajua. tatizo ni kwamba hawa jamaa"aliens" wako kimaendeleo mbali sana wanafanya wanavyotaka. Nazani siye watu wadunia hii kimaendeleo hatujaendelea sana kuweza kushirikiana kwenye jambo lolote ndo maana wanatupiga chabo tu kwa mbali hasa wale mataifa wenye masilaha ya manyuklia. aliens wanazimaga hayo mamitambo mara kwa mara hawa jamaa wakiweka mitambo mipya kutest kwamba bado wapo na control kiaina. lakini siyo raisi kusikia story ya watu wameona mandege ya ajabu huku africa. lakini mahali kama marekani, uk na rusia kila mwezi kunamavitu yana paa hewani na hayatambuliki na yanaenda kwa spidi ya kasi sana na kupiga kona ya 90 degree ikiwa kwa speed kali sana na dunia hii atuna tekinolojia ya kufanya hivyo. halafu hivyo vyombo vyao vya anga pia hutokea kwa sekunde kazaa na kupotea angani. mawazo yangu nazani hawa aliens ni viumbe ambavyo vyaweza kuchezea dimension nyingi nyingi na wanaweza kuchezea mda kusafiri masafa marefu kama mwendo wa mwanga miaka 200 wao wanaweza chukua masaa machache. kumbuka mwanga husafiri 1076 millioni km kwa lisaa
 
Hao watakuwa ni waisrael tu kwani ndio wamejaa kwenye mavumbuzi yote ya ajabu Duniani haswa ya kimaendeleo ya tekinolojia
 
wanasema wapo ktk sayari yao..inayozunguka jua bila mduara kamili yaani kama vile pluto inavyopinda ktk orbit yake.... So huwa inapita near earth kila baada ya miaka fulani.. But sijajua ni kweli or? :)
Sayari yao haina jina? au nayo ni "alien " to the galaxy we know.
 
This is the most important issue in human history. It is about who we are and where we are going.

A group of Military men, scientists and researchers reveal what the governments of the worlds are working very hard to conceal, and that is in this universe of billions of galaxies, and in our galaxy that has billions of solar systems, not only are we not alone, but we are being visited and have been for a long time.

The earth is nothing but a grain of sand, in an entire beach and in a universe with billions of beaches.
 
Leo nimetumiwa makala narafiki yangu ikiwa imechapishwa katika mtandao mmoja wa kijamii hapa tanzania,ukielezea kuwapo kwa viumbe hawa waliopewa jina la Aliens.

Stori kama hii ya kuwepo viumbe kama hawa nilisha wahi kudokezewa kwa kuwa mimi huwa mgumu wa kukubali mpaka uthibisho nipatiwe ndio itakuwa rahisi kunibadili mawazo kwajambo au mada utayoleta,kiujumla sikubaliani kuwepo na viumbe kama hawa walio umbwa na Mungu na kuishi katika sayari tofauti na hii,mimi na choamini nikuwa eneo salama kwa viumbe hai ni duniani pekee,baadhi ya taarifa nilizowahi kupewa nikuwa hawaviumbe ni hodari kitechnologia kuliko sisi,pia eti wanaakili kutushinda nawao hutushangaa kama baadhi yetu waliowahi kuwaona nakuwashangaa.

Sasa basi ningependa tujuzane ukweli wa hivi viumbe kama kweli vipo au niuzushi wabaadhi ya watu kujitengenezea pesa,kwamfano kuna film ilitoka miaka ya 90 au 2000 hivi ilikuwa inawahusisha viumbe kama hawa...

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

SHUKRANI
 

Attachments

  • alien_asgard_stargate.jpg
    alien_asgard_stargate.jpg
    10.5 KB · Views: 2,385
  • alien-1.jpg
    alien-1.jpg
    18.6 KB · Views: 2,278
  • alien-29.jpg
    alien-29.jpg
    17 KB · Views: 2,322
  • alien-32.jpg
    alien-32.jpg
    17.5 KB · Views: 2,251
mkuu hakuna alien ilikua ni vita baridi ya marekani na urusi iliozaa hivi viumbe. walikua wakitumia vifaa vya ajabu kupigana na kuwasingizia aliens.
 
mkuu hakuna alien ilikua ni vita baridi ya marekani na urusi iliozaa hivi viumbe. walikua wakitumia vifaa vya ajabu kupigana na kuwasingizia aliens.

Kwahiyo mkuu tueleweje?
Je Aliens ni viumbe hai?
Unaposema vita baridi ndiyo iliyozaa viumbe hivi inamaana hivi viumbe vilikuwa roboti au ilikuwaje jina la Aliens likahusishwa ktk vita hiyo?
 
mkuu hakuna alien ilikua ni vita baridi ya marekani na urusi iliozaa hivi viumbe. walikua wakitumia vifaa vya ajabu kupigana na kuwasingizia aliens.

much respect chief mkwawa, sasa vp zile taarifa za NASA ambazo sio rasmi juu ya uwepo wa hawa viumbe? Maana kuna sehemu nami pia nimewahi kuziona habari kama ya mtoa mada.
Natanguliza shukurani
 
Mimi ninajua tu allien/alien species,kama viumbe vinavyoishi sehemu isiyo origin yao.yaani viumbe vilivyovamia makazi isiyo chimbuko lao.

Ni pamoja na mimea na wanyama.
 
kwa taarifa nilizonazo,ni kweli kwamba hawa viumbe wapo na inasemekana teknolojia yao iko juu,kuna hata shuhuda mblmbl..nchini marekani watu kadhaa tofauti wamekaririwa wakisema wamekutana na hao viumbe kla mmja kwa wakt wake,na kwa video za satellite zinazotumika kimeshaonekana kimoja kikipita kuzunguka dunia,na kuna taarifa za vyombo kama visahani kutua duniani na kuondoka kwa mwendo kasi sana na vingine vilitoa moto..hivyo vinasadikiwa kuendeshwa na hao viumbe wa ajabu.kulikuwa na mgogoro marekani,watu kadhaa wakiishutumu kwa kuficha siri fulani kuhusu hawa viumbe..unaweza kwenda google na andika neno ufo..halafu angalia video zake za you tube,utafunguka kwa kiasi kikubwa.
 
Samahan Kama Naenda Nje Ya Maada Vp Kuhusu Viumbe Vngne Kama Vampires, Golins Na Warewolves.... Wamesha wah Kuwepo?? au Wan exist Untill Now??
 
mi ni mkristo kuna fungu ambalo huwa nikilitafakari linanipa utata kwamba sisi wanadamu hatukuwa viumbe wa kwanza kuumbwa pale mwanzo adamu alipata watoto wawili wakiume kaini na mdogo wake kaini akamuua nguguye akakimbia kwao akaenda sehemu za mbali uko akapata mke akawa na kizazi sasa huyo mke alitoka wapi wakati kipindi hicho tunaweza kusema dunia ilikuwa na watu wanne tu sasa hao wengine je ni mwanzo 3 kwenye biblia.vilevile inawezekana hivi viumbe vikawa ni matokeo ya tafiti za wanadamu
 
mi ni mkristo kuna fungu ambalo huwa nikilitafakari linanipa utata kwamba sisi wanadamu hatukuwa viumbe wa kwanza kuumbwa pale mwanzo adamu alipata watoto wawili wakiume kaini na mdogo wake kaini akamuua nduguye akakimbia kwao akaenda sehemu za mbali uko akapata mke akawa na kizazi sasa huyo mke alitoka wapi wakati kipindi hicho tunaweza kusema dunia ilikuwa na watu wanne tu sasa hao wengine je ni mwanzo 3 kwenye biblia.vilevile inawezekana hivi viumbe vikawa ni matokeo ya tafiti za wanadamu
 
inawezekana pia ikawa hawa viumbe wametengeneza wamarekani sababu kwa technologia walio ifikia biological laboratory zinaweza kutengeneza species za ajabu ila tujiulize wanawezaje kutengeneza vitu vinavyowashinda tena.kuna eneo linaitwa bermu kama sijakosea hili eneo lipo mashariki mwa bahari ya atlantic karibia na pwani ya mexico ni sehemu ambayo maji yake ni mafupi sana lakini ndege nyingi na meli zipitazo eneo hilo zimekuwa zikipotea na hazipatikani ilihali maji ni mafupi angani
 
Hii topic ni nzuri sana ila jukwaa alilopostia nadhani linaweza kukosa wadadavuaji mahiri wa mada husika.

Please Moderator kama inawezekana tunaomba hii thread ihamishiwe kwenye jukwaa la habari na hoja mchanganyiko, am very interested pia kujuwa simulizi hizi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom