Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Are Unidentified Flying Objects (UFOs) and Aliens Real? How safe is Planet Earth?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by n00b, Jun 16, 2011.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  [​IMG]

  An unidentified flying object, or UFO, in its most general definition, is any apparent anomaly in the sky that is not identifiable as a known object or phenomenon.

  Such anomalies may later be identified, but depending on the evidence or lack of evidence, such an identification may not be possible generally leaving the anomaly unexplained.

  While stories of unexplained apparitions have been told since antiquity, the term "UFO" (or "UFOB") was officially created in 1953 by the United States Air Force (USAF) to serve as a catch-all for all such reports. It was stated that a "UFOB" was "any airborne object which by performance, aerodynamic characteristics, or unusual features, does not conform to any presently known aircraft or missile type, or which cannot be positively identified as a familiar object."

  [​IMG]
  As originally defined, the term was restricted to those fraction of cases which remained unidentified after investigation, with USAF interest being for potential national security reasons and/or "technical aspects." (See Air Force Regulation 200-2.)

  During the late 1940s and through the 1950s, UFOs were often referred to popularly as "flying saucers" or "flying discs". The term UFO became more widespread during the 1950s, at first in technical literature, but later in popular use. UFOs garnered considerable interest during the Cold War, an era associated with a heightened concern for national security.

  [​IMG]
  Various studies have concluded that the phenomenon does not represent a threat to national security nor does it contain anything worthy of scientific pursuit (e.g., 1953 CIA Robertson Panel, USAF Project Blue Book, Condon Committee).

  Culturally, the phenomenon has often been associated with extraterrestrial life or government-related conspiracy theories, and has become a popular theme in fiction.

  [​IMG]

  UFOs have been subject to investigations over the years that varied widely in scope and scientific rigor. Governments or independent academics in the United States, Canada, the United Kingdom, Japan, Peru, France, Belgium, Sweden, Brazil, Chile, Uruguay, Mexico, Spain, and the Soviet Union are known to have investigated UFO reports at various times.

  UFOs are sometimes an element of conspiracy theories in which governments are allegedly intentionally "covering up" the existence of aliens by removing physical evidence of their presence, or even collaborating with extraterrestrial beings. There are many versions of this story; some are exclusive, while others overlap with various other conspiracy theories.

  [​IMG]

  In 1997, White House correspondent Sarah McClendon released an article about a group of government-employed scientists and technicians who state definitively that UFOs and aliens are real and are from other worlds. This group claimed that intimidation is still rampant and people are afraid to come forward with evidence that the phenomenon is genuine.

  "A group of government-employed scientists and technicians state definitively that UFOs and aliens are real and are from other worlds."

  McClendon stated that the Clinton administration had "many briefings on the subject." Laurance Rockefeller, well known for his comments on visitors from outer space, was the Clinton advisor on the subject. It is claimed that a number of other government officials, including Al Gore, have been privy to these briefings and documents.
   
 2. Millah

  Millah JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hadithi za UFO (unidentified flying objects) ni za ajabu ajabu kama alivyotuwekea ndugu yetu hapo juu.

  Kwa kweli bado hakuna ushahidi Wa uhakika juu ya suala hili mara zote kamera inakufa, mtu anapoteza fahamu na mambo kama hayo.

  Mpaka utakapopatikana ushahidi kamili ningekushauri uchukulie kama hadithi za kutunga.

  Mimi naamini hapatapatikana ushahidi kwa vile mambo haya yameanza kuzungumziwa miaka mingi sana lakini yanabaki kuwa ni hadithi tu.
   
 3. TinyMonster

  TinyMonster JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tafuta kitabu cha James Hadley Chase kinaitwa Dooms Day Conspiracy, ni simulizi lakini page kumi za mwisho kafanya epiologue inayoelezea Habari za UFO vizuri sana, namna serikali kubwa zinavyoficha uwepo wa aliens na UFO kwa kuhofia kuzusha hofu kwa raia.

  In short, kuna viumbe wanaoishi nje ya dunia ambao wana technolojia kubwa kuliko ya kwetu.. kinachotokea mara kwa mara vyombo vyao anga vinakuja duniani na inasemekana moja ya jamii za aliens chombo chao kilidondoka kwenye mashamba mexico, wakulima waliokiona mwanzoni walisema waliona watu wenye sura za mviringo wakiwa na rangi ya kijani. Baada ya muda ndege ya kijeshi marekani ikatua na wanasayansi moja kwa moja wakabeba na kuvipeleka makao makuu ya NASA. Wanasayansi watano walioshughulia wale viumbe walifanikiwa kugundua lugha yao, mmoja wao akajaribu kuivujisha siri kwa vyombo vya habari baada ya hapo haikujulikana hao wanasayansi wamepotelea wapi.

  Urusi, Marekani, China, Uingereza na Japan wana hofu Aliens wakipata access hapa duniani itakuwa ndio mwisho wa ustaarabu wa mwanadamu ndio maana wanajitahidi sana ku-crack technology yao ili itakapotokea invasion yoyote tuwe tayari.

  Lakini all in all kuna siku lazima kitawaka, nna hamu sana ile ngoma iliyosimuliwa na James Cameron kwenye Avatar iwe kweli.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unidentified foreign object
   
 5. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Acha uvivu jomba, ingia wikipedia au google usituchoshe hapa saa hii
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  UFO ni popobawa
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Unidentified Flying Objects
   
 8. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nahisi hupendi kujisumbua
   
 9. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aisee mbona uvivu unakusumbua....cku hz kila kitu kipo GOOGLE!
  Wasomi wanakuambia just google it......
   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  labda atafsiriwe kwa kimatumbi
   
 11. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  unidentified falling/flying objects mfano meteors, asteroids etc kwa kimatumbi huitwa kimondo. Wataalam wa astrology au nasa wanaweza kukusaidia kama unataka details.
   
 12. i411

  i411 JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  UFO pia watu wengi wakiwa wanaongelea hili jambo wanahusisha na alliens na vyombo vyao vya usafiri ambavyo huwaga kama mduara na kuwa na spidi ya kasi au kutokea na kupotea. pia UFO inahusisha hayo masecret miradi ya maserikali ya mabepari wakiwa wanatest mavyombo yao ya anga ya siri ambayo uma hawayajui kwahiyo watu husema tuu wameona unidentified flying object.
   
 13. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #13
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  UFO ni unidentified fyling objects, of course. Tazama katika galactic2.net, utaona habari za UFO. UFO zipo aina mbili, zinazotoka katika inner space, yaani from inside the earth, where there is a civilization of people, na outer space.

  Usually space beings wanasafiri katika Mother Ships,na hizi small scout crafts ndizo kwa kawaida zinaonekana katika radar za Dunia.

  Kama unataka kufahamu kuhusu UFO au aliens au ET Human Beings, kwa wanavyosema, you should just google it. Ashtar, Hatonn, St.Germain.

  The truth about UFO's ni kwamba The Super Powers do not want them to come here. most important hawataki aliens waje hapa wafanye urafiki na Tanzania,na kuifanya Tanzania iwe na nguvu kama Marekani.

  Halafu watu hawafahamu kuhusu UFOs. UFO ikipita Dar es Salaam,wakati wa rush hour,inaweza kusababisha panic na ajali nyingi.

  Lakini very soon, they will land here, and say, ''take us to your leader'. No, I have not yet seen an alien.

  Kuhusu UFOs watu wengi wanaona lights in the sky at night, lakini kama hawajui tofauti kati ya satelite na meteor, how will they know what they have seen?
   
 14. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hivi kuna yeyote anafahamu kuhusu habari ya UFO? maana inanichanganya kweli hii kitu.

   
 15. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #15
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Nitakufafanulia kikwetu: Ugunio gwa Fyaali Ogopage!!
   
 16. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #16
  Jun 27, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  dah mkuu umenitisha...ila hilo jina lako la Ganesh...mh mbona kama na ww ni wale wale?
   
 17. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #17
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,498
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Jackbawa;
  UFOS are UNIDENTIFIED FLYING OBJECTS and not "foreign" objects. By the way, assuming the truth holds with your definition, how do you come to judge something unidentified as being FOREIGN or LOCAL? Unless you have identified it,... get me?   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Myth nothing else.
   
 19. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona source yako ni fictional book?
   
 20. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Dah shukrani sana mkuu!! Hii kitu ilinichanganya sana, hao alliens ni jamii ya huko au? maana naona kama kuna kabifu flani hivi, mimi nilisikia mahala kwamba waliona kitu kama mng'ao flani kama vile mtu anashikilia kio alaf anakilenga juani sasa ule mwanga unaotoka juani anakuletea wewe, nasikia baadhi ya UFO ina sifa hiyo, hicho ndicho nilichokipata mimi, ila kuhusu hao viumbe sina habari kabisa.Kingine nakumbuka miaka ya 92 hivi nilipata stori ya kiumbe aliyetoka sayari ya Mars, nafikiri ni hao hao wa jamii ya Alliens, au siyo hao?
   
Loading...