Ardhi ya mtoto wa mkulima yauzwa kwa wamerekani

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Moyo wangu ulinilipuka baada ya kumuona Mary Nagu akitetea uuzwaji wa ekari 80,000 + 200,000 za watanganyika wa Mpanda kwa wamerekani. Kwa kifupi inaonekana kama deal imeshakuwa accomplished. Sina uhakika kama mtoto wa mkulima alihusika au hafahamu au alibariki uuzwaji huu. Wamepata kibali cha kumiliki eneo hilo kwa miaka 99 na kila mwaka watalipia sh. 700 (mia saba tu) kwa ekari kwa mwaka. Issue ni kwamba, je watoto wetu watakaozaliwa ndani ya hii miaka 99 wataishi wapi? watalima wapi? watawekeza wapi? Is it true kwamba hakuna watanzania wenye shida ya ardhi ya kulima (wawekezaji wa ndani)?

Wana JF naomba tuijadili hii mada kwa kina.

Kuna mtanzania aliyetaka ardhi ya kulima akakosa? Au unapika majungu tu?
 
Moyo wangu ulinilipuka baada ya kumuona Mary Nagu akitetea uuzwaji wa ekari 80,000 + 200,000 za watanganyika wa Mpanda kwa wamerekani. Kwa kifupi inaonekana kama deal imeshakuwa accomplished. Sina uhakika kama mtoto wa mkulima alihusika au hafahamu au alibariki uuzwaji huu. Wamepata kibali cha kumiliki eneo hilo kwa miaka 99 na kila mwaka watalipia sh. 700 (mia saba tu) kwa ekari kwa mwaka. Issue ni kwamba, je watoto wetu watakaozaliwa ndani ya hii miaka 99 wataishi wapi? watalima wapi? watawekeza wapi? Is it true kwamba hakuna watanzania wenye shida ya ardhi ya kulima (wawekezaji wa ndani)?

Wana JF naomba tuijadili hii mada kwa kina.

Watapata ajira kwenye hayo mashamba kama ilivyo kwenye madini.
 
Mlipokuwa mnachekelea Bush kukaa Tz siku nne mwaka ule mlidhani kaja kufanya nini?
 
me nadhani hawa viongozi wetu wanadhani watanzania watabaki wajinga millele.
naamini kuna siku watafungwa jela baada ya kua wamefilisiwa,hawa sijui ni watu gni wasio
na aibu, huruma, wala uzalendo.hivi mmesema watalipa 700 shilingi za tanzania au dola?kama ni dola za marekani au wap?
kama nim za marekani dola 700 kwa hekari do nini sasa!
 
Back
Top Bottom