Ardhi kuna mabinti wa kutosha...?

Ardhi kuna mabinti wa kutosha...?

man of steel

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
1,099
Reaction score
2,356
jaman mm nmechaguliwa ardhi ila napata was was sana kama kweli kuna mademu wa kutosha maana nikiangalia hamna education,business administration,public administration wala hzo nyngne za arts kwa ambao mnakijua vzur hki chuo naomba ufafanuzi mm nachojua pekee kuhusu hki chuo kwamba kipo karibu na mlimani city...
 
hahaahaa mwana aru mwenzangu!!
 
Mademu wapo ila wale wa msuli mrefuu! Hasa ambao a'level wamesoma PCM,PCB,EGM,PGM,CBG, ila hge,hkl,hgk,klf wakutafutaa sanaa/wachache c unajuaa chuo chenyewe course zakee kama ulivyoziorodhesha hapo juu!
 
Mademu ki ukweli wanaleta motivation ya kusongoka, kupiga pamba na kufanya maisha ya chuo yawe mafupi. Kuchungulia chungulia makalio yao, kuona ngozi zao, miguu yao, pichu zao, basom zao, raha utamu raha mustarehee!! mkuu yupo sahihi kufahamu
 
jaman mm nmechaguliwa ardhi ila napata was was sana kama kweli kuna mademu wa kutosha maana nikiangalia hamna education,business administration,public administration wala hzo nyngne za arts kwa ambao mnakijua vzur hki chuo naomba ufafanuzi mm nachojua pekee kuhusu hki chuo kwamba kipo karibu na mlimani city...

vijana wa mlugo
 
acha ujeuri kaka.. usiwe mbishi sana utapelekwa mabwepande!!..soma kwanza mademu baadae!! jinga veve..
 
nshazoea mkuu mademu ndo wananipa motivation 4m 5 nilishindwa kujiunga kibaha kisa hamna mademu...

Unajua wewe ni pimbi..una swaga za kishamba balaa..inaelekea umesoma maporini now unakuja mjini..kama unataka mademu c ungechagua ifm??lakini meeda na coner bar ni karibu pale utawapata wengi tu..muasharati mkubwa
 
Back
Top Bottom