Ardhi kuna mabinti wa kutosha...?

Ardhi kuna mabinti wa kutosha...?

jaman mm nmechaguliwa ardhi ila napata was was sana kama kweli kuna mademu wa kutosha maana nikiangalia hamna education,business administration,public administration wala hzo nyngne za arts kwa ambao mnakijua vzur hki chuo naomba ufafanuzi mm nachojua pekee kuhusu hki chuo kwamba kipo karibu na mlimani city...
Je we nyumbani kwenu kuna mabinti wa kutosha?,ukishindwa kujibu swali hilo muulize hata dada yako
 
jaman mm nmechaguliwa ardhi ila napata was was sana kama kweli kuna mademu wa kutosha maana nikiangalia hamna education,business administration,public administration wala hzo nyngne za arts kwa ambao mnakijua vzur hki chuo naomba ufafanuzi mm nachojua pekee kuhusu hki chuo kwamba kipo karibu na mlimani city...

kiukweli mademu pale wazuri wa kuhesabu... karibu aru ! Btw.. kozi ipi?
 
kwani kwenu kukoje? auna dada zako ? ukijibu ndo utoke nje ya mipaka mpaka huko chuoni.
 
Tatizo ni Mtaala wa Nyumbani sio wa shule, huyu mtoto inaonekana ndo atakuwa huru kwa mara ya kwanza ndio maana ana kiu sana ya kuvulisha chupi namshauri Mjini kuna wenyewe akienda kwa mwendo kasi atavuliwa Boxer Boom la bodi ya Mikopo likichelewa kutoka
 
we mtoto nakusubiri kwa hamu tena uwe School yangu ndo mwenyewe utakuwa demu -kama hauko vizuri. Muulize President Sabini kuna darasa tumedisco 9 kati ya 16:
 
we dgo unafata elimu au madem....km madem nenda coner bar....
 
we mtoto nakusubiri kwa hamu tena uwe School yangu ndo mwenyewe utakuwa demu -kama hauko vizuri. Muulize President Sabini kuna darasa tumedisco 9 kati ya 16:

hao vilaza mimi sio kilaza.
 
Graduate with As not Aids. Siamini kama una low self esteem kiasi kwamba huwezi kusoma, ama kuvaa vizuri kama hakuna madem. Fanya ubongo wako kuwa catalyst ya mambo mazuri unayowaza kufanya na sio "madem". Dedication: Bongo Dsm by Prof Jay.
 
Ushamba huu hatari..bora hata likifika Ubungo terminal liibiwe
 
Back
Top Bottom